Mamilioni yatakayotumiwa na serikali kwenye mbio za Kip Keino Classic

Na AYUMBA AYODI Serikali itatumia Sh250 milioni kuhakikisha makala ya pili duru ya Riadha za Dunia za Continental Tour ya Kip Keino...

Kiprotich aapa kumaliza utawala wa Julius Yego

Na GEOFFREY ANENE "Hapa ni nyumbani kwetu na ilikuwa lazima tulinde.” Huo ndio ujumbe wa mrushaji mkuki Alexander Toroitich Kiprotich...

Muethiopia Lemlem aonyesha kinadada Wakenya kivumbi mbio za mita 1,500

Na GEOFFREY ANENE Lemlem Hailu amezidia maarifa wenyeji Kenya katika mbio za mita 1,500 za wanawake kwenye makala ya kwanza ya Kip Keino...

#KipKeinoClassic: Paul Tanui ashinda mbio za mita 10,000

Na GEOFFREY ANENE NYOTA Paul Tanui ndiye mshindi wa makala ya kwanza ya mbio za mita 10,000 za kitaifa kwenye Riadha za Dunia za...

Mabingwa wanne wa dunia ni miongoni mwa wakali watakaonogesha Kip Keino Classic

Na CHRIS ADUNGO EDRIS Muktar ni miongoni mwa mabingwa wanne wa dunia ambao wamethibitisha kunogesha riadha za kimataifa za Kip Keino...

Mbio za Kip Keino Classic sasa zaahirishwa kutoka Septemba 26 hadi Oktoba 3, 2020

Na CHRIS ADUNGO MBIO za kimataifa za Kip Keino Classic zilizokuwa ziandaliwe katika uwanja wa kitaifa wa Nyayo, Nairobi mnamo Septemba...