Kipusa alilia kuolewa na pasta

Na JOHN MUSYOKI OTHAYA, NYERI KIPUSA alishangaza waumini kanisani alipodai kwamba alifunuliwa ndotoni kuwa pasta ndiye...

SHANGAZI AKUJIBU: Kipusa mpenzi ameanza ghafla kubugia pombe

Na SHANGAZI HUJAMBO shangazi? Nina mwanamke mpenzi wangu ambaye nampenda sana. Lakini kuna jambo moja ambalo limenishangaza kumhusu....

Mbappe kumtwaa rasmi kimwana Alicia Aylies

Na CHRIS ADUNGO FOWADI matata wa Paris Saint-Germain (PSG) na timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe, 19, amekiri kwamba anapania...

Kipusa taabani kuuza mali apate hela za mganga

Na TOBBIE WEKESA Kapolok, Teso KIPUSA aliyekuwa ameolewa na polo mmoja wa eneo hili alitolewa kijasho alipotakiwa kuelezea sababu...

Azua rabsha kipusa alipodinda kumnengulia kiuno

Na TOBBIE WEKESA Baba Ndogo, Nairobi K IZAAZAA kilizuka katika baa moja mtaani hapa baada ya polo kuomba wahudumu wamtimue kipusa...

Kisura aaibisha kakake kutangaza alifeli KCSE

Na TOBBIE WEKESA BUTERE, MUMIAS Kioja kilizuka katika eneo la hapa baada ya mzozo mkali kuzuka baina ya polo na dadake. Inadaiwa polo...

SHANGAZI: Nataka kumsahau mpenzi lakini nalemewa na hisia

Na SHANGAZI SIZARINA Kwako Shangazi. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22. Sijaolewa lakini nilizaa mtoto na mwanamume tuliyekuwa...

Kalameni amtoroka slay queen akihofia hasara zaidi

Na DENNIS SINYO LESSOS, ELDORET POLO mmoja mtaani hapa alimhepa kipusa alipoitisha pombe badala ya soda wakiwa katika eneo moja la...