KIPWANI: Dogo anayetikisa visiwa vya Lamu

Na ABDULRAHMAN SHERIFF KUNA dhana kuwa wasanii wa kiume wakioa umaarufu wao hupungua hasa kutokana na kushindwa kutangamana na mashabiki...

KIPWANI: Lil Mizze ataka wasanii Pwani washirikiane kufanya eneo zima kitovu cha talanta

Na ABDULRAHMAN SHERIFF ANA imani kubwa atafika mbali kimuziki hasa kwa kuwa hivi sasa yuko chini ya menejimenti ya Dkt Giuseppe...

KIPWANI: Ana kiu ya kufanya kolabo na wasanii wa haiba ya juu

Na ABDULRAHMAN SHERIFF KAMA wanavyopenda wasanii wengine wanaoinukia, naye pia ana kiu na hamu ya kufanya kolabo na wasanii wenye majina...

KIPWANI: Princess Cathy aamini kufanya shoo mataifa ya kigeni humzolea msanii sifa

Na ABDULRAHMAN SHERIFF KUNA umuhimu kwa wanamuziki kufanya ziara ya kutembelea sehemu mbalimbali nje ya nchi wanayoishi ili waweze...

KIPWANI: Msanii Best Boomer

Na ABDULRAHMAN SHERIFF KWA msanii kuendeleza kipaji chake, anahitajika kuzunguka sehemu ambazo zinaweza kumuongezea soko lake hasa...

KIPWANI: Malkia wa Kimaasai aliyetokea Bongo Star Search

Na ABDULRAHMAN SHERIFF ALIKUWA mmoja wa wasanii waliokuwa tishio kwenye mashindano ya kila mwaka ya Bongo Star Search, ila baadaye...

KIPWANI: Aliota akiwa msanii sasa ndoto imetimia

Na ABDULRAHMAN SHERIFF ALIOTA akiwa mwimbaji na sasa imetimia. Tarsila Rogert al-maarufu Joe Mosha anasema alipenda kuimba tangu...

KIPWANI: Lengo langu kusaidia maskini, si kujitanua

SHAWN Gabriel almaarufu Tyrell asema amejitosa kwenye fani ya usanii sio kujitajirisha bali afanikiwe kuwa msanii maarufu ili kipato...

KIPWANI: Hupata nyimbo katika ndoto na zikawa hiti

Na ABDULRAHMAN SHERIFF AMEBAHATIKA mara tatu kujiwa na nyimbo akiwa usingizini na alipoamka, aliweza kuzihifadhi na kuhakikisha...

KIPWANI: ‘Wasubiri bonge la surprise Krismasi’

Na ABDULRAHMAN SHERIFF JUAN Mutua ni miongoni mwa wale wanaoamini ikiwa sehemu uliyoko haina nyota nawe, ni muhimu na vizuri kubadilisha...

KIPWANI: Mzaliwa wa Congo ila kakita kambi ufuoni

Na ABDULRAHMAN SHERIFF HUWA si jambo la kustaajabia raia kutoka DR Congo anapojitosa kwenye muziki. Taifa hili linajulikana kwa...

KIPWANI: Achanganya beats kunasa mashabiki

Na ABDULRAHMAN SHERIFF BAADA ya miaka mitano ya ku-rap, Beatrice Jeremiah Kimaro al-maarufu Mamalao amewashangaza mashabiki wake kwa...