Watu 10,000 pekee kuhudhuria sherehe za Mashujaa Kirinyaga

Na GEORGE MUNENE WATU 10,000 pekee ndio wanaotarajiwa kuhudhuria sherehe za Mashujaa ambazo zitafanyika Oktoba 20 katika uga wa...

BAJETI: Waiguru akatwa miguu na MCAs

Na GEORGE MUNENE MADIWANI wa Kirinyaga sasa wameamua kutumia mamlaka yao kumwadhibu Gavana Anne Waiguru kwa kumpunguzia mgao wa fedha...

Seneti yapendekeza kamati ya wanachama 11 kuchunguza hoja ya kutimuliwa Waiguru

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Seneti limependekeza kubuniwe kamati maalum ya wanachama 11 kuchunguza madai ya madiwani waliopitisha hoja...

Madiwani wapitisha hoja ya kumbandua Waiguru

Na GEORGE MUNENE MADIWANI wa Kirinyaga wapitisha hoja ya kumbandua Gavana Anne Waiguru baada ya kikao cha kujadili hoja hiyo...

Polisi wategua kitendawili cha vifo vya wawili ndani ya kanisa

Na MWANGI MUIRURI MAAFISA wa polisi katika Kaunti ya Kirinyaga wameeleza kuwa mwanamume na mwanamke ambao miili yao ilipatikana ndani ya...

Kioja miili ya mwanamume na mwanamke kupatikana na kondomu ndani ya kanisa

Na MWANGI MUIRURI MAAFISA wa polisi katika Kaunti ya Kirinyaga wanachunguza kisa ambapo miili ya mwanamume na mwanamke iliyokuwa uchi wa...

Karua atakiwa kushirikiana na Waiguru

Na KNA KIONGOZI wa Narc-Kenya Martha Karua ameraiwa kukubali uamuzi wa mahakama kwamba Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru alichaguliwa...

Karua ataka korti iagize upya vifaa vya kura Kirinyaga vikaguliwe

Na JOSEPH WANGUI KIONGOZI wa Chama cha Narc Kenya, Bi Martha Karua, anataka maagizo mapya ya korti kuhusu ukaguzi wa vifaa vya uchaguzi...

Hali si shwari: Waiguru ayumbishwa na kimbunga cha siasa

Na WANDERI KAMAU GAVANA wa Kirinyaga, Anne Waiguru wa Kirinyaga amejipata tena katika utando wa kisiasa, hali inayohatarisha kipindi...

Waiguru na Karua wabanana mahakamani

Na RICHARD MUNGUTI GAVANA wa Kirinyaga Anne Waiguru ameonekana kuwa na nia ya kutumia njia ya mkato kutetea ushindi wake hata baada ya...

JAMVI: Wimbi la ‘minjiminji’ layeyuka kama mvuke huku wakazi wakimkosoa Waiguru

Na WANDERI KAMAU Kwa ufupi: Baadhi ya changamoto zinazomwandama Bi Waiguru zinatokana na tofauti zake na viongozi wengi wa eneo...

Kamishna atahadharisha viongozi dhidi ya siasa kuingizwa katika ujenzi wa bwawa

Na Kenya News Agency KAMISHNA wa Kaunti ya Kirinyaga Birik Mohammed amehimiza viongozi kutoingiza siasa katika mradi wa Sh19 bilioni wa...