Wawaniaji Azimio wakimbilia Raila

NA KENYA NEWS AGENCY WAWANIAJI wanaoegemea Azimio La Umoja One Kenya katika Kaunti ya Kisii, wamemsihi mgombea urais wa muungano huo,...

Kibarua cha Raila waasi wakirejea ODM

Na RUTH MBULA KIONGOZI wa ODM Raila Odinga anakabiliwa na kibarua kikubwa katika Kaunti ya Kisii, huku wagombeaji wa viti mbalimbali...

Huzuni tele ajuza waliouawa kwa madai ya uchawi wakizikwa

Na WYCLIFFE NYABERI WINGU la simanzi lilikigubika kijiji cha Nyagonyi, eneo la Marani, Kaunti ya Kisii wakati wa mazishi ya ajuza watatu...

Siasa za urithi wa Ongwae zachukua mkondo wa ukoo

Na Wycliffe Nyaberi MBUNGE wa Kitutu Chache Kusini Bw Richard Onyonka, amezitaka koo zingine za jamii ya Abagusii kuungana ili kukitwaa...

Huenda wandani wa Ruto Kisii wakamtoroka hivi karibuni

Na RUTH MBULA WABUNGE kadhaa ambao wamekuwa wakimuunga mkono Naibu Rais William Ruto, wameashiria uwezekano wao kumhepa wakati wa...

Matamshi ya Arati yalinikera, pikipiki yangu ilichomwa 2007, Osoro sasa ajitetea

Na SAMMY WAWERU Mbunge wa Mugirango Kusini Silvanus Osoro amejitetea kuhusu kisa ambapo alipigana hadharani na mwenzake wa Dagoretti...

Aibu wabunge wakilimana makonde mazishini

Na SAMMY WAWERU Hafla ya mazishi ya babake Naibu Gavana wa Kisii, Bw Joash Maangi, Mzee Abel Gongera Jumatatu iligeuka kuwa ukumbi wa...

Maangi adai maisha yake yamo hatarini

Na CHARLES WASONGA NAIBU GAVANA wa Kisii Joash Maangi sasa anadai maisha yake yamo hatarini saa chache baada ya watu waliodai kuwa...

JAMVI: Abagusii hatimaye wapata kigogo awaongoze kisiasa

Na VALENTINE OBARA BAADA ya kukaa miaka mingi bila kigogo mahiri wa kuwaongoza kisiasa, jamii ya Wakisii sasa imeweka matumaini yao kwa...

Wazazi wawinda mkuu wa shule iliyopata ‘E’ nyingi

Na JADSON GICHANA WAZAZI na wakazi wa eneo la Etago, Kaunti ya Kisii waliandamana jana katika juhudi za kutaka kumng'oa mkuu wa shule ya...

Walimu wafumaniwa lojing’i wakiwa na wanafunzi

Na JADSON GICHANA Maafisa wa Polisi eneo la Nyamache, Kaunti ya Kisii wameanzisha uchunguzi kubaini kisa ambapo walimu wawili walidaiwa...

Mbunge na mlinzi wake kufunguliwa mashtaka

Na MAGATI OBEBO MBUNGE wa Bobasi Innocent Obiri na mlinzi wake wanatarajiwa kufikishwa mahakamani leo mjini Kisii ambapo watafunguliwa...