Polisi ashtakiwa kwa kumjeruhi mwenzake

Na RICHARD MUNGUTI AFISA wa polisi ameshtakiwa kwa kumdunga kisu na kumpa majeraha ya kudumu afisa mwenzake waliyezozania mwanamke huku...

Ashtakiwa kumdunga mumewe kisu tumboni

Na Richard Munguti Mwanamke mwenye umri wa miaka 22 alikana shtaka la kumdunga mumewe kisu tumboni matumbo yakatoke. Ebby Khalea...

Amdunga kisu mumewe mara 11 wakizozania kuosha vyombo

NA Joseph Wangui Mwanamke mmoja aliyemuua mpeziwe wakibishana nani atakayeosha vyombo baada ya chakula cha jioni amekatazwa ddhamana...

Mwanamke aliyejeruhi wanawe kwa kisu ana akili timamu – ripoti

NA BRENDA AWUOR MWANAMKE aliyedunga watoto wake wanne kwa kisu cha nyumbani ataendelea kuzuiliwa Kodiaga, baada ya ripoti kutoka...

Amsamehe aliyemdunga kisu

Na STEVE NJUGUNA POLISI ambaye alidungwa kisu na mpenzi wake mnamo Jumapili kutokana na mzozo wa kinyumbani, sasa anataka mashtaka dhidi...

Mvuvi auawa na mkewe

Na RICHARD MUNGUTI MVUVI aliuawa na mkewe wakati wa sikukuu ya Mashujaa alipodugwa kisu katika eneo la Kasarani mjini Naivasha baada ya...

Mwanamke amuua mwizi aliyejaribu kumbaka

Na NICHOLAS KOMU Mwanamke mmoja Alhamisi alimuua kwa kumdunga kisu mwanamume aliyevunja na kuingia katika kioski chake katika mtaa wa...

Akatwa uume baada ya kufumaniwa akimumunya mke wa mtu

Na PETER MBURU MWANAMUME 'fisi' kutoka mtaa wa Majengo, Tunduma, eneo la Songwe nchini Tanzania anapokea matibabu hospitalini, baada ya...

Aliyedungwa kisu atoka hospitalini kikiwa mwilini kutafuta sigara

MASHIRIKA na PETER MBURU KAZAN, RUSSIA MWANAMUME aliyekuwa amedungwa kisu mgongoni na aliyekuwa akielekea kufa alishangaza wahudumu wa...

Wauguzi watishia kuhama baada ya wenzao kudungwa visu Mama Lucy

NA AGGREY OMBOKI MUUNGANO wa Kitaifa wa Wauguzi Nchini(KNUN) tawi la Nairobi umetishia kuwaongoza wanachama wake kushiriki mgomo baada...

Fujo chuoni baada ya mwanafunzi kuuawa

  [caption id="attachment_1210" align="aligncenter" width="800"] Jengo la klabu ya Dalawa mjini Bondo ambalo lilichomwa na wanafunzi wa...