GWIJI WA WIKI: Mtetezi wa Kiswahili ndani ya Seneti

LEONARD ONYANGO na CHRIS ADUNGO KITI cha Naibu wa Spika wa Seneti kiliposalia wazi baada ya Seneta wa Tharaka Nithi Profesa Kithure...

Patrick Mukanga: Mtangazaji, mwalimu na mshauri wa lugha

Na PETER CHANGTOEK Patrick Michael Mukanga ni mja mwenye vipaji vingi. Yeye ni mtangazaji, mwalimu, mwandishi wa vitabu na pia mshauri...

Bunge kuzindua kanuni zake katika Kiswahili leo

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Kitaifa linatarajiwa kupiga hatua muhimu katika matumizi ya lugha ya Kiswahili kuendeshea shughuli zake kwa...

CHAKICACA: Chama imara kuhusu makuzi ya Kiswahili shuleni Carmelvale Catholic

Na CHRIS ADUNGO TANGU kuasisiwa kwa Chama cha Kiswahili katika Shule ya Msingi ya Carmelvale Catholic (CHAKICACA), Nairobi mnamo 2015,...

Botswana kuanza kufundisha somo la Kiswahili katika shule

Na XINHUA BOTSWANA imeingia kwenye orodha ya mataifa ya Afrika ambayo yametangaza kuwa yataanza kufundisha Kiswahili katika...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Kiswahili kama fumbato la desturi na itikadi za jamii

Na CHRIS ADUNGO LUGHA hubadilika kadri jamii inavyobadilika. Kama sehemu ya utamaduni, lugha ni amali ya jamii inayoizungumza na ina...

Hawa ndio matapeli wa Kiswahili waliomkera Abdalla Mwasimba

NA BITUGI MATUNDURA USIKU wa kuamkia siku ya Jumatano Julai 29, 2020 tasnia ya Kiswahili – hasa taaluma ya utunzi na ughani wa...

GWIJI WA WIKI: Jack Otiya, mwandishi chipukizi na mwalimu wa Kiswahili

Na CHRIS ADUNGO KIZURI unachokifikiria ndicho utakachokipata. Fuata mkondo wa fikira zako! Jipende, kipende unachokifanya na namna...

GWIJI WA WIKI: Maria Mvati

Na CHRIS ADUNGO INAWEZEKANA hujui kipaji chako au hujajibidiisha kabisa kukitambua. Pengine umekidharau kwa kudhania kwamba talanta...

NGURE: Kuundwa Baraza la Kiswahili itakuwa tuzo kwa Walibora

NA ALEX NGURE TUNAFURAHI sana tukiangalia vile Kiswahili kilivyopiga hatua lakini watu wajue kuwa ukiona vinaelea ujue vimeundwa....

KAULI YA WALIBORA: Tusiogope kuzungumza Kiswahili kwa kuchelea kutoeleweka na wageni

NA PROF KEN WALIBORA UBALOZI wa Tanzania nchini Ufaransa uliandaa kongomano kukipigia upatu Kiswahili majuzi yale. Hafla hiyo ilihusisha...

Mradi wa NiE ni lulu inayowaniwa Shuleni Sangenyi, Taita Taveta

NA CHRIS ADUNGO SHULE ya Msingi ya Sangenyi katika Kaunti ya Taita- Taveta ni miongoni mwa shule nyingi za humu nchini ambazo kwa sasa...