Uhuru atupa marafiki

Na BENSON MATHEKA WALIOKUWA marafiki wa kisiasa wa Rais Uhuru Kenyatta wamesema uhusiano wao na kiongozi wa taifa ulivunjika alipoamua...

Kindiki, Murkomen, Cherargei wakataa nafasi mpya walizopewa katika seneti

Na CHARLES WASONGA SENETA wa Tharaka-Nithi Kithure Kindiki amekataa nafasi mpya aliyoteuliwa kuhudumu kama mwanachama wa Kamati ya...

Munya adai alijaribu kumwokoa Kindiki akafeli

DAVID MUCHUI na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Kilimo Peter Munya ameelezea jinsi alivyojaribu kumnusuru Seneta wa Tharaka-Nithi Kithure...

Viongozi wa jamii ya Kindiki waikemea Jubilee kumvua mamlaka

NA DAVID MUCHUI Viongozi wa kisiasa kutoka kaunti za Mlima Kenya mashariki wamekemea uamuzi wa seneti kumung’oa Seneta Kithure Kindiki...

Uhuru azidi kumkalia Ruto

Na CHARLES WASONGA MSIMAMO wa kiongozi wa chama cha Jubilee, Rais Uhuru Kenyatta uliendelea kudhihirika wazi Ijumaa wandani wa Naibu...

Maseneta waitwa Ikulu kabla ya hoja ya kumfurusha Kindiki kujadiliwa

Na CHARLES WASONGA MASENETA 55 wa mirengo ya Jubilee na upinzani Ijumaa wameitwa katika Ikulu ya Nairobi kuafikiana kabla ya hoja ya...

Watamsaliti Ruto?

Na CHARLES WASONGA HARAKATI za kumng'oa Naibu Spika wa Seneti Kithure Kindiki leo Ijumaa ziliendelea kushika kasi jana Alhamisi...

Kang’ata ashikilia msimamo wa Jubilee kumwondoa Kindiki hauyumbishwi

Na CHARLES WASONGA KIRANJA wa wengi katika Seneti Irungu Kang’ata amepuuzilia mbali madai ya baadhi ya maseneta na wabunge kwamba hoja...

Nchuri Ncheke tayari kuomba msamaha kwa niaba ya Kithure Kindiki

CHARLES WASONGA na ALEX NJERU WAZEE wa jamii ya Ameru - Njuri Ncheke - wanasema wako tayari 'kupiga magoti' kwa niaba ya mtoto wao,...

Presha zaidi kwa Ruto

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto sasa 'anaumwa na kichwa' kuhusiana na uongozi wa Bunge la Seneti. Siku chache baada ya...