Kiunjuri abadilisha wimbo, sasa asakata Reggae ya BBI

Na JAMES MURIMI ALIYEKUWA waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri, amebadili msimamo wake kuhusu Mpango wa Maridhiano (BBI) na kuwataka Wakenya...

Uhuru awasha upya moto mkali ngomeni mwake

Na MWANGI MUIRURI MATAMSHI ya Rais Uhuru Kenyatta kwamba atatumia ushawishi wake kuhakikisha mahasimu wake Mlima Kenya hawaingii...

Kiunjuri azindua chama kipya

NA FAUSTINE NGILA Aliyekuwa Waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri amezindua chama chake kipya kujiandaa kwa uchanguzi mkuu wa 2022. Bw...

Nitampigania Ruto hadi kifo, asema Kiunjuri

Na GAKUU MATHENGE ALIYEKUWA Waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri amekariri kuwa hatakoma kuunga mkono azma ya Naibu Rais William Ruto...

Nzige walivyotafuna kazi ya Kiunjuri

Na VALENTINE OBARA RAIS Uhuru Kenyatta hatimaye ameanza kuwatia adabu viongozi serikalini ambao wanaenda kinyume na amri yake ya kuzima...

Uhuru amtia adabu Kiunjuri

VALENTINE OBARA Na WANDERI KAMAU MWANDANI wa Naibu Rais William Ruto, Bw Mwangi Kiunjuri Jumanne alifutwa kazi ya Waziri wa Kilimo...

Hisia mseto serikalini Kiunjuri kupigwa kalamu

Na CHARLES WASONGA WANDANI wa Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake William Ruto wametoa hisia kinzani kuhusu mabadaliko ambayo Rais...

Kieleweke sasa wataka Kiunjuri avuliwe uwaziri

Na NDUNGU GACHANE VIONGOZI wa kundi la Kieleweke wamemtaka Waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri ajiuzulu wadhifa wake kisha ajiunge na...

Viongozi wataka Kiunjuri awe naibu wa Ruto 2022

Na STEVE NJUGUNA VIONGOZI kadhaa kutoka Mlima Kenya wamependekeza Waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri awe mgombea mwenza wa Naibu Rais...

Wakati wa kumtimua Kiunjuri ni sasa, wabunge wamwambia Rais

Na CHARLES WASONGA MAPEMA Jumatano wabunge wa North Rift walimtaka Waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri kujiuzulu kwa kusimamia wizara hiyo...

Mwangi Kiunjuri asema madai ya uhai wa Ruto kuwa hatarini ni ‘mojawapo ya mbinu katika siasa’

Na MWANGI MUIRURI WAZIRI wa Kilimo Mwangi Kiunjuri Alhamisi ametaja madai kuwa kuna mawaziri ambao wanapanga kumuua DP William Ruto...

Kiunjuri aonya Mlima Kenya kwa kugawanyika

Na NDUNGU GACHANE WAZIRI wa Kilimo Mwangi Kiunjuri ameomba kuwepo hali ya utulivu na umoja miongoni mwa viongozi wa Mlima Kenya kabla ya...