Sitishiki hata ukinitimua Wiper, Kibwana aambia Kalonzo

Na PIUS MAUNDU KATIKA kile kilichoonekana kama hatua ya kumdhihaki kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka, Gavana wa Makueni Kivutha Kibwana...

Washirika wa Kalonzo wapuuza hatua ya Kibwana

Na PIUS MAUNDU BAADHI ya washirika wa kiongozi wa Wiper, Bw Kalonzo Musyoka, wamepuuzilia mbali hatua ya baadhi ya wazee kutoka Ukambani...

Mutua, Kibwana sasa waunga BBI

Na PIUS MAUNDU MAGAVANA Dkt Alfred Mutua (Machakos) na Profesa Kivutha Kibwana (Makueni) Jumatatu walionekana kubadili msimamo na...

Kibwana, spika kupokea maoni kuhusu BBI

Na PIUS MAUNDU GAVANA wa Makueni, Prof Kivutha Kibwana na Spika wa Bunge la kaunti hiyo, Douglas Mbilu wamepanga hafla mbili tofauti za...

Kibwana anuia kusaka urais kwa tiketi ya KLM

Na VALENTINE OBARA GAVANA wa Makueni, Prof Kivutha Kibwana, amepanga kutumia vuguvugu la Kongamano La Mageuzi (KLM) kuwania urais katika...

JAMVI: Ushirika mpya wa Muthama na Kibwana mwiba kwa Kalonzo

Na BENSON MATHEKA USHIRIKA mpya wa kisiasa kati ya aliyekuwa Seneta wa Machakos bwanyenye Johnson Muthama na Gavana wa Makueni, Prof...

Kibwana atangaza kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa 2022

Na SAMUEL OWINO GAVANA wa Makueni, Prof Kivutha Kibwana anayehudumu kwa kipindi chake cha mwisho, anasema ameitikia mwito wa raia kuwa...