Liverpool watoka nyuma na kurefusha mkia wa Sheffield United kwenye EPL

Na MASHIRIKA MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Liverpool walitoka nyuma na kuwapokeza Sheffield United kichapo cha 2-1...

Klopp atawazwa kocha bora wa mwaka

Na CHRIS ADUNGO JURGEN Klopp wa Liverpool ametawazwa Kocha Bora wa Mwaka katika tuzo za Chama cha Wakufunzi wa Soka ya Uingereza...

Klopp na Ancelotti nguvu sawa

Na CHRIS ADUNGO KOCHA Jurgen Klopp wa Liverpool alikuwa mwingi wa sifa kwa Alisson Becker baada ya kipa huyo mzawa wa Brazil kufanya kazi...

Klopp asema kikosi cha Liverpool kingali imara

Na MASHIRIKA na CECIL ODONGO MKUFUNZI wa Liverpool Jurgen Klopp amesema kwamba anafurahia jinsi kikosi chake kilivyo na hatakimbilia...

Sasa nataka ubingwa wa EPL, Klopp asema

JOHN ASHIHUNDU MERSEYSIDE, Uingereza Kocha Jurgen Klopp wa Liverpool amesisitiza kwamba hata baada ya kutwaa ubingwa wa Kombe la...

HANG’OKI! Liverpool kurefusha mkataba wa Klopp

Na MASHIRIKA MERSEYSIDE, UINGEREZA LIVERPOOL wanalenga sasa kurefusha mkataba wa Jurgen Klopp baada ya mkufunzi huyo mzaliwa wa...

UEFA ina heshima kuliko EPL, Klopp amwambia Guardiola

MASHIRIKA NA CECIL ODONGO MENEJA wa Liverpool Jurgen Klopp amemjibu mwenzake wa Manchester City Pep Guardiola, aliyedai kwamba Ligi Kuu...

Liverpool ina uwezo wa kushinda EPL na UEFA – Henderson

NA CECIL ODONGO NAHODHA wa Liverpool Jordan Henderson anaamini kwamba klabu hiyo inaweza kuhimili ushindani mkali na kutwaa mataji ya...

Klopp amfunza Guardiola gozi la UEFA

Na CHRIS ADUNGO LIVERPOOL wamejikatia tiketi ya nusu fainali ya UEFA,Klabu Bingwa Ulaya baada ya kuiengua Man City 5-1 kijumla kufuatia...

Msiidhalilishe Man City, Klopp aonya

Na CHRIS ADUNGO KIPIGO cha 3-0 kwenye robo fainali za Klabu Bingwa Ulaya kilitangulia kingine cha 3-2 kwenye debi ya Manchester baada ya...

ADUNGO: Chini ya Klopp, Liverpool inaweza kufanya lolote katika soka ya Uingereza na hata Ulaya nzima

Na CHRIS ADUNGO INGAWA Manchester City walipigiwa upatu kunyakua jumla ya mataji matatu msimu huu, inaelekea kwamba kikosi hicho cha Pep...