Kocha Maurizio Sarri atastahimili mawimbi ya misukosuko Chelsea?

Na MASHIRIKA na GEOFFREY ANENE MAURIZIO Sarri atapigwa teke na Chelsea ikipoteza mojawapo ya mechi zake tatu zijazo dhidi ya Malmo (Ligi...

Kocha mpya wa Simbas atambulishwa

Na GEOFFREY ANENE KOCHA mpya wa timu yake ya raga ya wachezaji 15 kila upande almaarufu Simbas, Ian Snook, ametambulishwa rasmi kwa umma...

Wazito FC wamridhisha kocha kwa bidii yao

Na CECIL ODONGO KOCHA wa Klabu ya Wazito FC Francis Ouna amesifu juhudi zinazotiwa na kikosi chake katika kubadilisha mwanzo mbaya...

Kocha wa Vihiga United aomba radhi kwa kuropokwa uwanjani

Na CECIL ODONGO KOCHA Mkuu wa timu ya Vihiga United Edward Manoa amemwomba radhi mwamuzi aliyechezesha mechi kati yao na Kakamega...