Shahidi apiga wakili ngumi kortini kwa kumuuliza swali

Na RICHARD MUNGUTI AFISA wa zamani wa polisi aliyekuwa akitoa ushahidi alifungwa jela siku moja kwa kumpiga na kumuumiza wakili...

Mwanamke amuua mwanamume aliyemzaba kofi

Na PETER MBURU MWANAMKE Jumanne alimuua mwanamume katika eneo la Elburgon, Kaunti ya Nakuru, baada ya mwanamume huyo kumzaba...

Pasta azaba kidosho kofi kwa kumtongoza

Na JOHN MUSYOKI Machakos KIPUSA mmoja kutoka mahali hapa alikiona cha mtema kuni alipozabwa makofi na pasta kwa kumtongoza...

Msichana aliyecharaza wanajeshi wa Israeli makofi aachiliwa

Na MASHIRIKA Msichana wa Kipalestina aliyefungwa jela kwa kuwachapa makofi wanajeshi wa Israeli, aliachiliwa huru jana baada ya miezi...

Polisi watetea udhalimu wao

Na LEONARD ONYANGO IDARA ya Polisi imetetea maafisa wake wawili ambao walinaswa katika video wakimtesa na kumhamisha kwa nguvu mwanamke...

Wasiomtambua Mungu walaani mwanamke kupigwa kofi

NA PETER MBURU Muungano wa watu wasitambua uwepo wa Mungu nchini (Atheists In Kenya) umeghadhabishwa na kitendo cha mwanamume kutoka...