Ugonjwa usiojulikana wafyeka kondoo 2,000 Gilgil

Na SAMMY WAWERU WAFUGAJI Kaunti Ndogo ya Gilgil wanaendelea kukadiria hasara ya kupoteza kondoo kutokana na mkurupuko wa ugonjwa...

AKILIMALI: Usipuuze ufugaji kondoo, bado bidhaa zake zina pato kubwa

Na RICHARD MAOSI MKULIMA anapowatunza kondoo vizuri, matokeo yake huwa ni ya kutia moyo. Kwa upande mwingine wanyama wanaweza kuwa...

AKILIMALI: Mkulima analala pazuri kwa kufuga kondoo kwa ajili ya sufu na nyama

Na RICHARD MAOSI NYANDA za juu katika Bonde la Ufa, ni mwafaka kwa ufugaji wa kondoo hasa kwa ajili ya uzalishaji wa nyama na manyoya...

Binamu ya Uhuru afagia kondoo wote sokoni

Na PIUS MAUNDU WAANDALIZI wa mnada wa kondoo katika Kaunti ya Kajiado, walilazimika kuomba msamaha baada ya binadamu wa Rais Uhuru...

Ajabu ya mnyama kula mioyo pekee na kufyonza damu ya kondoo 50

Na NDUNGU GACHANE WAKAZI wa vijiji vya Kirembu na Mukangu katika Kaunti ya Murang'a, wanakadiria hasara baada ya mnyama asiyejulikana...

Amuua baba yake kwa kumnyima kondoo wa kulipa mahari

 TITUS OMINDE na STEPHEN MUNYIRI POLISI wa eneo la Eldoret Mashariki wamemkamata mwanaume mwenye umri wa miaka 28 ambaye anashukiwa...

Taabani kwa kugeuza kondoo wa babake mke na ‘kurina asali’ mara saba

Na TITUS OMINDE MWANAMUME wa umri wa miaka 30 alifikishwa katika mahakama moja mjini Eldoret kujibu mashtaka ya kushiriki ngono na...

Mhubiri afumaniwa akitafuna kondoo mjini, ang’atwa sikio

Na CORNELIUS MUTISYA MACHAKOS MJINI KIOJA kilishuhudiwa katika klabu mjini hapa pasta maarufu alipong’atwa sikio na mume wa muumini...