Kongamano kuuamsha mji kibiashara

PIUS MAUNDU na WANDERI KAMAU KONGAMANO la Ugatuzi ambalo linatarajiwa kuanza leo Kaunti ya Makueni, limeuamsha kibiashara mji mdogo...

Wakenya wengi wahudhuria kongamano la dunia kuhusu miji Abu Dhabi

Na MAGDALENE WANJA KENYA ni baadhi ya nchi ambazo zimeandikisha idadi kubwa ya watu wanaohudhuria Kongamano la Dunia kuhusu Miji - World...

Mvutano baina ya TSC na Knut washuhudiwa katika kongamano Mombasa

Na MISHI GONGO VITA baina ya chama cha walimu (Knut) na Tume ya Kuajiri Walimu nchini (TSC) vimejitokeza katika kongamano la 15 la...

KONGAMANO LA CHAKAMA: Kongamano laanza leo Alhamisi katika Chuo Kikuu cha Maasai Mara

Na CHRIS ADUNGO KONGAMANO la Kimataifa la Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki (CHAKAMA) litafunguliwa leo Alhamisi na Gavana wa Kaunti...

Usalama mkali kongamano la walimu wakuu likianza

Na WINNIE ATIENO USALAMA umeimarishwa eneo la Pwani huku zaidi ya walimu wakuu zaidi ya 9,000 wa shule za sekondari za umma wakianza...

Wasomi wa Kiswahili wakutana chuoni Moi kwa kongamano kuu

Na TITUS OMINDE WASOMI na wataalam wa lugha ya Kiswahili kutoka Afrika Mashariki wanashiriki katika kongamano la Kiswahili katika Chuo...

Kongamano la Ugatuzi: Wachuuzi na bodaboda walia kutengwa

Na SHABAN MAKOKHA WACHUUZI na wanabodaboda mjini Kakamega wamelalamika kwamba Kongamano la Ugatuzi linaloendelea katika Shule ya Upili...

Madiwani wapewe mamlaka ya kuchunguza magavana – Murkomen

Na BENSON MATHEKA KIONGOZI wa wengi katika seneti Kipchumba Murkomen, Jumanne aliwachangamsha madiwani wanaohudhuria Kongamano la Ugatuzi...

Kongamno la Ugatuzi: Uhuru ahutubia wajumbe kidijitali

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Jumanne alikosa kufika katika kongamano la tano wa Ugatuzi ulioandaliwa mjini Kakamega. Gavana wa...

TAHARIRI: Magavana waelezane ukweli kwenye kongamano

Na MHARIRI KILA mwaka, magavana hukutana kwenye kongamano la kutathmini hatua walizopiga tangu ugatuzi uanze rasmi mwaka 2013. Mwaka...