Sababu ya KRA kuwaandama washukiwa wa ukwepaji ushuru

Na CHARLES WASONGA MAMLAKA ya Ukusanyaji Ushuru Nchini (KRA) imeimarisha juhudi zake za kupambana na wafanyabiashara wanaokwepa ushuru...

NYS: Polisi ashtakiwa kwa kutolipa ushuru kwa KRA

Na RICHARD MUNGUTI AFISA wa polisi aliyelipwa mamilioni ya pesa na Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS) baada ya kutoa huduma...

Muthaura ateuliwa tena kuongoza bodi ya KRA

Na CHARLES WASONGA ALIYEKUWA Mkuu wa Utumishi wa Umma na Katibu katika Baraza la Mawaziri Francis Muthaura sasa ataendelea kuhudumu kama...

Wabunge wailaumu KRA kwa kushindwa kukusanya Sh158 bilioni

Na CHARLES WASONGA MAMLAKA ya Ukusanyaji Ushuru Nchini (KRA) Jumatano ililaumiwa kwa kufeli kukusanya ushuru unaofikia kiasi cha Sh158...

Moroto apendekeza KRA ikusanye ushuru katika kaunti

Na OSCAR KAKAI MBUNGE wa Kapenguria Bw Samuel Moroto ametoa wito kwa halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini (KRA) ichukue jukumu la...

NGILA: KRA isikubali biashara za mitandaoni zikwepe ushuru

NA FAUSTINE NGILA HUKU mizizi ya teknolojia ikizidi kupenyeza katika uchumi wa Kenya, biashara za mitandaoni zimeongezeka kwa kasi mno...

Kamishna mkuu KRA awaonywa wanaokwepa kulipa ushuru

Na SAMMY WAWERU UFAGIO wa wanaokwepa kulipa ushuru hauna ubaguzi wala mapendeleo, amesema Kamishna Mkuu mpya wa Mamlaka ya Ukusanyaji...

Kinaya Sportpesa kutuzwa na serikali kisha kuzimwa

Na VALENTINE OBARA NIA halisi ya serikali kupiga marufuku kampuni za uchezaji kamari nchini, imeanza kutiliwa shaka kutokana na maelezo...

Wanaume 5 kinyang’anyironi kujaza nafasi ya Njiraini KRA  

Na BERNARDINE MUTANU Mamlaka ya Kukusanya Ushuru (KRA) imeorodhesha majina ya watu watano watakaochukua mahala pa John Njiraini ambaye...

KRA yamulika wafanyabiashara wa mitandaoni

Na CHARLES WASONGA MAMLAKA ya Ukusanyaji Ushuru Nchini (KRA) imetaka wafanyabiashara wanaondesha shughuli zao mitandaoni kulipa ushuru...

TAHARIRI: Nyongeza ya ushuru iwafae Wakenya

NA MHARIRI MAMLAKA ya Ushuru Nchini (KRA) imetoa mapendekezo mapya yanayolenga kuwatoza Wakenya ushuru zaidi pamoja na kuweka mikakati...

KRA yawataka wanachuo kuwasilisha taarifa za ushuru kidijitali

Na BERNARDINE MUTANU TANGU Mamlaka ya Ukusanyaji wa Ushuru (KRA) ilipofungua nafasi ya kujaza ushuru kwa mwaka wa 2018, takriban Wakenya...