Jinsi wakazi wa Nairobi walivyosherehekea Krismasi bila ‘lockdown’

Na SAMMY WAWERU BAADHI walisafiri mashambani na wengine kusalia mijini na majijini, taswira inayoshuhudiwa kila mwaka msimu wa...

JUMA NAMLOLA: Krismasi iwe mwalimu kuhusu kuwajali wengine na kuunganisha ukoo

Na JUMA NAMLOLA KESHO ni ile siku ambayo mamilioni ya waumini wa dini ya Ukristo wanasherehekea ulimwengu mzima. Kwa niaba yangu na...

TAHARIRI: Ni msimu wa Krismasi kila mmoja awe mwangalifu

KITENGO cha UHARIRI SHAMRASHAMRA za Krismasi na Mwaka Mpya zinapobisha hodi duniani kote, kila mmoja wetu huwa na matumaini makubwa...

Matiang’i apotosha kuhusu uhalifu

Na WANDISHI WETU WATU kadhaa nchini wanauguza majeraha waliyopata mkesha wa Krisimasi licha ya Waziri wa Usalama, Fred Matiang’i...

Watoto 88 wazaliwa Krismasi Eldoret

NA TITUS OMINDE WANAWAKE 88 katika hospitali ya mafunzo na rufaa ya Moi MTRH mjini Eldoret walisherehekea Krismasi kwa kujifungulia...

Wakazi wa Nairobi walia Krismasi imekuwa ‘kavu’

Na SAMMY WAWERU Mabustani na majumba ya maduka ya jumla mbalimbali jijini Nairobi na viunga vyake siku ya Krismasi yalikuwa yenye...

Jinsi ya kukwepa wahalifu unapomumunya Krismasi

NA WACHIRA ELISHAPAN  Msimu wa Krismasi huwa na mahanjamu na vituko tele ambavyo vyote hufanywa kwa kusudi la kupata raha. Ni kawaida...

Walemavu wafurahia zawadi ya Krismasi

NA CHARLES ONGADI MOMBASA HUKU sherehe za Krismasi na mwaka mpya zikiwa pua na mdomo, walemavu 70 walipokea zawadi kutoka kwa...

Krismasi ya dhiki

Na BENSON MATHEKA WAKENYA wanaadhimisha Krismasi ya mwaka huu kwa dhiki kufuatia hali ngumu ya maisha na masharti makali ya kuzuia...

TAHARIRI: Nuru ya Krismasi ni kuwajali wengine

NA MHARIRI KWA mara nyingine Mwenyezi Mungu ametufikisha siku ya leo, ambayo waumini wa dini ya Ukristo kote ulimwenguni wanaungana kwa...

Polisi zaidi watumwa kulinda Wakenya Krismasi

Na Winnie Atieno SERIKALI imewatuma maafisa zaidi wa usalama kushika doria makanisani, mahoteli na katika fuo eneo la Pwani wakati wa...

Kamata kamata ya polisi kwa wasiovalia maski Krismasi ikianza

Na SAMMY WAWERU Maafisa wa polisi jijini Nairobi na viunga vyake wanaendeleza msako mkali kwa wanaopuuza kuvalia maski wakiwa katika...