Munya atetea KTDA kuhusu bonasi ya chini ya majani chai

Na IRENE MUGO WAZIRI Kilimo Peter Munya ametetea Mamlaka ya Kilimo cha Majanichai (KTDA) kuhusu malipo ya chini ya bonasi kwa wakulima...

Bei ya chai sasa yapanda kanuni mpya zikianza kuzaa matunda

Na ANITA CHEPKOECH MAUZO ya chai katika mnada wa Mombasa yameimarika hadi kiwango cha asilimia 87, baada ya kudorora kwa muda...

Wakurugenzi wa shirika la KTDA wakataa kutuliza boli

Na GEORGE MUNENE WAKURUGENZI 30 wa viwanda vya chai katika Kaunti ya Kirinyaga jana waliitaka serikali ikome kuingilia masuala ya...

KTDA yabishana na Rais kuhusu chaguzi za wakuu viwandani

Na CHARLES WASONGA MALUMBANO yamezidi kutokota kati ya Serikali na Shirika la Kustawisha Sekta ya Majani Chai Nchini (KTDA), kuhusu...

Vita vya serikali na usimamizi wa KTDA

Na MWANGI MUIRURI KATIKA kila vita, ni vizuri kwanza kubainisha kiini na lengo kuu ikiwa utaingia kwa mapambano. Serikali imeamua...

Sheria mpya ya majani chai iidhinishwe haraka – Wakulima

Na CHARLES WASONGA WAKULIMA wa majani chai wamepata zawadi ya Krismasi baada ya maseneta kupitisha mswada utakaoleta mageuzi...

Rais atakiwa aingilie kati kunusuru sekta ya majanichai

Na IRENE MUGO  na CHARLES WASONGA KAMATI ya Seneti kuhusu Kilimo imemtaka Rais Uhuru Kenyatta kuunda jopokazi la kudadisi malalamishi...

Uchaguzi wa wakurugenzi KTDA wakumbwa na utata

Na NDUNG'U GACHANE na IRENE MUGO UTATA umeibuka kuhusu mtindo wa upigaji kura kwenye uchaguzi wa Oktoba 25 wa wakurugenzi wa viwanda 65...