Mwalimu aliyenajisi mtoto hadi akamharibu utumbo asubiri kunyongwa

MASHIRIKA Na PETER MBURU MWALIMU kutoka kuzimu ambaye alimnajisi mwanafunzi kwa fujo hadi akamharibu utumbo na kufanyiwa upasuaji...

Maafisa wawili wa polisi kunyongwa

Na RICHARD MUNGUTI MAAFISA wawili wa polisi Jumatano walihukumiwa kunyongwa kwa kumuua mwenzao wa kitengo cha Utawala pamoja na jamaa zake...

Baba na wanawe wawili kunyongwa kwa kumuua mvulana mchungaji

BRIAN OCHARO Na PETER MBURU BABA na wanawe wawili wa kiume Jumanne walihukumiwa kifo na mahakama moja ya Kwale, baada ya kupatikana na...

Haji kubatilisha uamuzi wa kuwaachilia wanajeshi 25 waliopangiwa kunyongwa

 PHILIP MUYANGA na CHARLES WASONGA MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji ameruhusiwa kuwasilisha rufaa dhidi ya uamuzi wa...

Wafungwa 8,000 wa kunyongwa waliosukumwa jela maisha wahukumiwe upya – Jopo

Na BENSON MATHEKA WAFUNGWA 8,000 waliohukumiwa kunyongwa nchini wakiwemo wale ambao hukumu zao zilibadilishwa kuwa za kufungwa jela...

JARIBIO LA MAPINDUZI 1982: Waliopanga njama walivyonyongwa

Na WANDERI KAMAU JUMATANO, Agosti 1, 2018, Kenya  itaadhimisha miaka 36 tangu kutokea kwa jaribio la mapinduzi ya kijeshi mnamo...

Misri kunyonga watu 75 waliohusika kwa machafuko 2013

Na MASHIRIKA Mahakama ya Misri mnamo Jumamosi iliwahukumu watu 75 kunyongwa, wakiwemo viongozi wa kundi la Muslim Brotherhood. Hukumu...

Malkia aliyedunga mchumba kisu mara 25 kunyongwa

Na RICHARD MUNGUTI MALKIA wa urembo katika Gereza la Lang'ata jijini Nairobi mnamo 2016, Ruth Kamande, Alhamisi alihukumiwa kunyongwa...

Msemaji wa Machar kunyongwa kwa kujaribu kupindua serikali ya Sudan Kusini

[caption id="attachment_1476" align="aligncenter" width="800"] MSEMAJI wa kiongozi wa waasi Riek Machar, Bw James Gatdet Dak azogwa na...