Maafisa tisa Kuppet wamezea mate siasa

Na FAITH NYAMAI UONGOZI wa vyama vya kutetea maslahi ya walimu nchini utaathirika baada ya maafisa kuonyesha nia ya kuwania nyadhifa za...

Vigogo wa KNUT, KUPPET sasa waanza kuhemeshwa

Na FAITH NYAMAI KUNDI la ‘waasi’ limeibuka ndani ya Chama cha Walimu (Knut) na kile cha Walimu wa Shule za Upili na Vyuoni (Kuppet)...

CBC: Kuppet pia wana malalamishi

Na KENYA NEWS AGENCY CHAMA cha Walimu wa Shule za Upili na Vyuo vya Kadri (Kuppet) kimeitaka Wizara ya Elimu kuhusisha wadau wote katika...

Shule za bweni zipigwe marufuku – Kuppet

GEORGE SAYAGIE na GERALD BWISA CHAMA cha kutetea Masilahi ya Walimu wa Shule za Upili na Vyuo (KUPPET) jana kiliendeleza wito wake wa...

Kuppet yataka walimu wapewe mafunzo ya kijeshi

NA FAITH NYAMAI CHAMA cha Walimu wa Shule za Upili na Vyuo Anuwai (Kuppet), kimetoa wito kwa serikali itoe mafunzo ya kijeshi na kuwapa...

Kuppet yataka ihusishwe kikamilifu katika utekelezaji CBC

Na MAGDALENE WANJA CHAMA cha Walimu wa Sekondari na Taasisi za Mafunzo (Kuppet) kimetaka kihusishwe katika utekelezaji wa mfumo mpya wa...

Uhuru na Ruto wanatisha watahiniwa wa KCSE – KUPPET

Na TOM MATOKE CHAMA cha Walimu wa Upili (KUPPET) kimewaomba Rais Uhuru Kenyatta, Naibu Rais William Ruto na mawaziri kukoma kwenda...

Knut na Kuppet zalaumiana kuhusu anayewajali walimu

Na PIUS MAUNDU KATIBU Mkuu Msaidizi wa Chama cha Kitaifa cha Walimu (KNUT), Bw Collins Oyuu amekashifu Chama cha Walimu wa Sekondari...

Serikali ndiyo chanzo cha migomo shuleni – KUPPET

Na Gaitano Pessa KATIBU Mkuu wa Chama cha Walimu wa Vyuo Anuwai (KUPPET) ameilaumu serikali kwa kuwa kiini kikuu cha kuongezeka kwa...

Vyama vya walimu vyaitaka TSC kuondoa walimu maeneo hatari

[caption id="attachment_1679" align="aligncenter" width="800"] Katibu Mkuu wa Kuppet, Bw Akelo Misori. Picha/ Maktaba[/caption] Na...