BENSON MATHEKA: Ili kuadhibu viongozi wabaya, vijana wajisajili kupiga kura

Na BENSON MATHEKA KUNA kila dalili kwamba Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC)) haitatimiza lengo lake la kusajili wapigakura wapya...

CHARLES WASONGA: IEBC yafaa kulaumiwa kwa idadi ndogo ya usajili kura

Na CHARLES WASONGA KWA mujibu wa kipendele cha 38 cha Katiba ya sasa, ni haki ya kila raia wa Kenya kupata habari zitakayomwezesha...

Vijana wakaidi wazee 2022

Na BENSON MATHEKA SIASA za uchaguzi mkuu wa mwaka 2022 zinapoendelea kupamba moto, wazee wa jamii mbalimbali wamekuwa wakijitokeza kutoa...

Hofu ya Pwani kususia kura za 2022 yatanda

Na WAANDISHI WETU VIONGOZI katika ukanda wa Pwani wameeleza wasiwasi wao kuwa huenda idadi kubwa ya wananchi wakakosa kushiriki katika...

Polisi waua watu watatu uchaguzi ukianza Tanzania

Na MASHIRIKA CHAMA kikuu cha upinzani katika kisiwa cha Zanzibar kisichojisimamia binafsi, kilisema jana kuwa watu watatu waliuawa na...

Kampuni 8 zilitumiwa kuchafulia Raila sifa 2013 na 2017

NA FAUSTINE NGILA  KAMPUNI nane zilitumiwa kumharibia sifa Kion- gozi wa ODM, Bw Raila Odinga mitandaoni wakati wa kampeni za chaguzi...

Hatima ya EPL msimu huu kujulikana kesho Jumatano kupitia kura

Na CHRIS ADUNGO MIKAKATI ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kurejea inaendelea kushika kasi huku klabu za kipute hicho zikiratibiwa kupiga...

Kura: Seneta ataka majina bandia yawe halali debeni

Na VALENTINE OBARA KARATASI za kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2022 zitajaa majina bandia ya wanasiasa ikiwa mswada wa kutaka Tume Huru ya...

Hapa ulafi tu, miaka miwili tangu uchaguzi mkuu

Na VALENTINE OBARA MNAMO Agosti 8, 2017, mamilioni ya Wakenya walikosa kulala na kuvumilia baridi kali ya asubuhi na jua kali mchana...

Wananchi wote walazimishwe kupiga kura ili kuzima ufisadi – Kiraitu

Na DAVID MUCHUI GAVANA wa Kaunti ya Meru, Kiraitu Murungi, sasa anataka upigaji kura ufanywe kuwa wa lazima kwa watu wote wazima, kama...

Konchellah apoteza kiti chake

Na RICHARD MUNGUTI MBUNGE wa Kilgoris Bw Gideon Konchellah alipoteza kiti baada ya Mahakama ya rufaa kufutilia mbali ushindi wake...

Kibe alishinda kwa njia ya haki – Mahakama

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya rufaa Jumanne ilifutilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa Mbunge wa Gatundu kaskazini Bi Anne Wanjiku...