Chama kipya Pwani kinavyotishia Ruto na Raila

Na MAUREEN ONGALA MIPANGO ya kuzindua chama kipya Pwani kabla uchaguzi ujao ufike, imeshika kasi na kutishia kugeuza mawimbi ya kisiasa...

Wapwani wakaushwa tena

Na WAANDISHI WETU MASAIBU yanayokumba wakazi wa Pwani wanapojitafutia riziki yanazidi kuongezeka, baada ya kubainika kuwa, wavuvi...

Nassir na Shahbal walilia ‘tosha’ ya Raila uagavana Mombasa

VALENTINE OBARA na ANTHONY KITIMO KIONGOZI wa Chama cha ODM, Bw Raila Odinga, alikwepa kumwidhinisha mwanasiasa yeyote kuwania ugavana...

JAMVI: Mkanganyiko mkuu unaogubika siasa za urithi Pwani

Na MOHAMED AHMED KWA muda sasa magavana watatu kutoka Pwani akiwemo wa Mombasa Hassan Joho, Salim Mvurya wa Kwale na mwenzao wa Kilifi...

Raila awaonya Wapwani dhidi ya kuunda chama

LUCY MKANYIKA na MAUREEN ONGALA KIONGOZI wa Chama cha ODM, Bw Raila Odinga, amepinga msukumo wa baadhi ya viongozi wa Pwani kuunda chama...

Joto la siasa lapanda Pwani Ruto na Raila waking’ang’ania kura za wakazi

NA MOHAMED AHMED JOTO la siasa limepanda Pwani huku migawanyiko ikizuka katika kambi za kiongozi wa ODM Raila Odinga na Naibu Rais...

Njama ya Joho, Kingi ‘kupiga chobo’ vinara wa Tangatanga

Na CHARLES LWANGA MIBABE wa chama cha ODM eneo la Pwani sasa wamepanga njama kuwapiku wafuasi wa Naibu Rais William Ruto eneo hilo,...

Matokeo ya uchaguzi mdogo Kwale yalivyowapa maadui wa Joho sauti

Na MOHAMED AHMED SIASA za uchaguzi mdogo wa Msambweni, Kwale uliofanyika mwezi uliopita, zilikuwa zimechukuliwa kama kipimo cha umaarufu...

Shahbal aonekana kufaidika na siasa za kumrithi Joho

Na MOHAMED AHMED SIASA za urithi wa kiti cha Gavana wa Mombasa Hassan Joho zimeonekana kuchukua mkondo tofauti ambao unaonekana kumfaidi...

Corona yasimamisha ‘Reggae’ Pwani

Na MOHAMED AHMED KIVUMBI cha kisiasa kilichoanza kushika kasi katika kampeni za uchaguzi mdogo wa Msambweni kimeanza kufifia kufuatia...

Vuguvugu la Pwani latishia Raila

Na MOHAMED AHMED KINARA wa ODM Raila Odinga ana kila sababu ya kuwa na wasiwasi kufuatia kuanzishwa kwa vuguvugu la mageuzi eneo la...

Kajembe apumzishwa kwa kanuni za corona

Na MOHAMED AHMED ALIYEKUWA mbunge wa Changamwe, Ramadhan Seif Kajembe alizikwa jana katika maziara ya Kwa Shee eneo la Jomvu katika...