Karantini zageuzwa rumande

PETER NGARE Na STEVE NJUGUNA VITUO vya karantini ambavyo vilifunguliwa kuwatenga walioambukizwa virusi vya corona na waliotangamana nao,...

Tutawanyaka wote waliotoroka karantini – Uhuru

Na WANDERI KAMAU WATU 50 ambao walitoroka kutoka Chuo cha Mafunzo ya Matibabu (KMTC) jijini Nairobi, watasakwa na kuchukuliwa hatua za...

50 waliohepa karantini Nairobi wasakwa

BENSON MATHEKA Na PIUS MAUNDU SERIKALI inachunguza ripoti kuwa watu 50 waliokuwa wamewekwa karantini katika chuo cha mafunzo ya utabibu...

Waliofumaniwa harusini watengwa kwa lazima kwa gharama yao

Na MARY WANGARi Kioja kilizuka Jumaatatu baada ya maafisa wa polisi kuwafumania wanawake 39 harusini licha ya marufuku ya serikali dhidi...

Waliotengwa katika hoteli kujilipia bili

Na BENSON MATHEKA SERIKALI imejitenga na malipo ya ada za watu walioamua kuishi hotelini walipotengwa ili wasitangamane na jamii kama...

Onyo kali kwa wanaogeuza karantini kuwa maeneo ya burudani

Na MARY WANGARI WAKENYA walio katika karantini kuhusiana na ugonjwa wa Covid-19, huenda wakalazimika kukaa katika vituo hivyo kwa muda...

Wabunge wote wanafaa kujitenga – Murungi

DAVID MUCHUI NA FATUMA BUGU Mbunge wa Imenti Kusini, Kathuri Murungi amewataka wabunge wote kuenda karantini akidai kuwa walijumuika na...

CORONA: Watu 100 kutengwa kwa mwezi mzima

Na LEONARD ONYANGO WATU zaidi ya 100 waliotengwa kwa siku 14 kama tahadhari ya kuzuia maambukizi ya virusi vya corona humu nchini,...