Juhudi za kufua panga kuwa majembe barani Afrika

Na KEN WALIBORA akiwa Addis Ababa, Ethiopia KENYA imejitolea mhanga kuwa mstari wa mbele katika kutokomeza vita na silaha barani Afrika...