Mbunge wa kike ajitolea kuwafunza wanaume mbinu za kutongoza

Na PIUS MAUNDU MBUNGE Mwakilishi Mwanamke wa Kaunti ya Makueni, Bi Rose Museo, amejitolea kuwafunza wanaume jinsi ya kutongoza wanawake...

Demu aangua kilio alipokosa wa kumnunulia bia

Na JOHN MUSYOKI EMBU MJINI DEMU mmoja mjini hapa aliangua kilio wanaume walipokataa kumrushia mistari ya mapenzi na kumnunulia pombe....

Polo ala kipigo kwa kutongoza wake za watu

NA MIRRIAM MUTUNGA MITUNGUU, MERU JAMAA mmoja kutoka eneo hili aliyezoea kuwatongoza wake za watu alikiona cha mtema kuni wakazi...

Nitakosa mwanamume wa kunitongoza picha ikichapishwa, msichana aambia hakimu

Na RICHARD MUNGUTI KIDOSHO aliyegeuka bondia  na kumzamba masumbwi  msichana katika kituo cha Reli Jumanne aliomba mahakama iamuru...

Fisi afunzwa adabu kwa kutamani visivyolika

Na JOHN MUSYOKI KITUNDU, MBOONI KALAMENI mmoja wa hapa alijipata kona mbaya alipofumaniwa akitongoza mke wa jirani yake...