KWA KIFUPI: Utakufa mapema ukihifadhi mlo kwenye vifaa vya plastiki – Utafiti

Na LEONARD ONYANGO KEMIKALI za plastiki zinazotumika kutengeneza vyombo vya kuhifadhi vyakula, vipodozi na vifaa vya watoto kuchezea...

KWA KIFUPI: Janga la corona limetatiza pakubwa vita dhidi ya TB nchini

Na LEONARD ONYANGO HUKU ulimwengu ukiadhimisha siku ya Kifua Kikuu (TB) Jumatano, imebainikika kuwa janga la virusi vya corona...

KWA KIFUPI: Chanjo ya kukabiliana na aina mpya ya corona kuwa tayari kufikia Desemba

Na LEONARD ONYANGO CHANJO ya kukabiliana na aina mpya ya virusi vya corona itakuwa tayari kufikia mwishoni mwa mwaka huu wa...

KWA KIFUPI: Kulala kwa dakika kadhaa mchana kuna manufaa kiafya

Na LEONARD ONYANGO UNAPENDA kulala mchana angalau mara mbili au tatu kwa wiki? Wataalamu wa afya wana habari njema kwako. Utafiti...

KWA KIFUPI: Sugua meno yako mara kwa mara ujiepushe na maradhi ya ubongo

Na LEONARD ONYANGO WENGI husugua meno ili kuepuka kutoa pumzi yenye harufu mbaya. Lakini sasa wanasayansi wamebaini kuwa kusugua meno...

KWA KIFUPI: Kususia mboga za majani hufanya wazee kushindwa kutembea

Na LEONARD ONYANGO WAZEE wanaokwepa kula mboga za majani kama vile sukumawiki au spinachi, basi wako katika hatari ya kushindwa...