Laikipia inaweza kugeuzwa kutoka eneo kame kuwa uga wa kilimo

Na SAMMY WAWERU KENYA ni miongoni mwa mataifa matatu yaliyoorodheshwa kuathirika kwa kiwango kikubwa na janga la ukame katika Upembe wa...

Kibicho, Ndiritu wazozana kuhusu vituo vya polisi

NA GEORGE MUNENE KATIBU katika Wizara ya Usalama wa Ndani, Karanja Kibicho na Gavana wa Laikipia, Ndiritu Muriithi wamezozana kuhusu...

Laikipia inaweza kugeuzwa kutoka eneo kame kuwa uga wa kilimo

Na SAMMY WAWERU KENYA ni miongoni mwa mataifa matatu yaliyoorodheshwa kuathirika kwa kiwango kikubwa na janga la ukame katika Upembe wa...

Wakazi wa Ol Moran wasita kurejea kwao

Na JAMES MURIMI MAMIA ya wakazi wa Ol Moran, Kaunti ndogo ya Kirima, Kaunti ya Laikipia wameapa kutorejea makwao huku operesheni...

Serikali kujengea wahasiriwa Laikipia makazi

Na STEVE NJUGUNA SERIKALI imeanza kuwajengea nyumba wakazi wa Ol Moran, kitovu cha ghasia zilizogubika kaunti ndogo ya Laikipia...

Serikali yabuni kaunti ndogo mpya

Na STEPHEN NJUGUNA SERIKALI imebuni eneo jipya la utawala katika Kaunti ya Laikipia katika juhudi za kudhibiti visa vya utovu wa usalama...

Laikipia yalipia makosa ya Wakoloni

Na JOHN KAMAU MAKABILIANO yanayoendelea katika Kaunti ya Laikipia na kutajwa kama ujangili yanatokana na makosa ya kihistoria ambapo...

Wabunge, maseneta wataka wanajeshi wapelekwe Laikipia kutuliza hali

Na CHARLES WASONGA WABUNGE na Maseneta wameitaka Serikali kuwapeleka wanajeshi wa Kenya - KDF - katika Kaunti ya Laikipia kupiga jeki...

Laikipia yalipuka

Na STEVE NJUGUNA SERIKALI Jumanne ilipeleka wanajeshi kushirikiana na vitengo vingine vya usalama kwenye operesheni ya kurejesha utulivu...

Polisi wampiga risasi babake seneta wa Lamu kwa kutovaa barakoa

JUMA NAMLOLA na KALUME KAZUNGU POLISI katika Kaunti ya Laikipia wanalaumiwa kwa kumpiga risasi babake Seneta wa Kaunti ya Lamu, Anwar...

Mahakama yaidhinisha ushindi wa Gavana Ndiritu Muriithi

Na RICHARD MUNGUTI GAVANA wa Laikipia Ndiritu Muriithi ameibuka mshindi kwa mara ya tatu baada ya Mahakama ya Juu kutupilia mbali kesi...

SENSA: Jamii za kuhamahama zaombwa kujitokeza kuhesabiwa

Na STEVE NJUGUNA MBUNGE wa Laikipia Kaskazini, Sarah Lekorere ameziomba jamii za kuhamahama kuacha tamaduni ambazo zimekuwa zikizifanya...