MAKALA MAALUM: Sababu za daraja la Kwa Omollo kuibua hofu kila linapotajwa

NA KALUME KAZUNGU DARAJA la Kwa Omollo, Kaunti ya Lamu ni eneo ambalo punde linapotajwa hushtua mioyo ya wengi, hasa wale...

Matapeli wavuna vya haramu kupitia bandari ya Lamu

NA ANTHONY KITIMO MATAPELI wameanza kutumia Bandari ya Lamu kuwahadaa wafanyabiashara na wananchi wengine kwamba wanaweza kuwaagizia...

Wakazi Lamu wakataa kafyu kurefushwa

NA KALUME KAZUNGU WAKAZI wa sehemu za Kaunti ya Lamu wanaishinikiza serikali isiongeze muda wa kafyu walioekewa baada ya mashambulio...

Urembo wa punda ni kitega uchumi Lamu

NA KALUME KAZUNGU KATIKA miji mingi mikubwa nchini, wafanyabiashara wa uchukuzi wa umma hurembesha sana vyombo vyao vya...

Wahalifu wavuruga shughuli za kupata riziki vijijini Lamu

NA KALUME KAZUNGU UTOVU wa usalama unaoshuhudiwa Lamu umeathiri shughuli za kiuchumi wachimba migodi na wahudumu wa bodaboda wakisitisha...

Masomo yatatizika Lamu shule zikiwahifadhi waliokwepa mashambulio vijijini

NA KALUME KAZUNGU SHUGHULI za masomo zimeathirika pakubwa kwenye maeneo ya Lamu ambayo yamekuwa yakishuhudia ghasia na mauaji...

Simanzi waliouawa kinyama wakizikwa

NA KALUME KAZUNGU SIMANZI iligubika vijiji mbalimbali vya Lamu kwa siku mbili tangu Jumanne waathiriwa 13 waliouawa na wahalifu, ikiwemo...

Watu wawili wauawa Lamu genge hatari likitekeleza unyama vijijini

NA KALUME KAZUNGU WATU wawili wameuawa kwa kupigwa risasi na pia kukatwa kwa mapanga na majangili waliovamia vijiji vya Juhudi, Marafa...

KIPWANI: Dogo anayetikisa visiwa vya Lamu

Na ABDULRAHMAN SHERIFF KUNA dhana kuwa wasanii wa kiume wakioa umaarufu wao hupungua hasa kutokana na kushindwa kutangamana na mashabiki...

Raila aahidi kuigeuza Lamu iwe ‘Dubai ya Afrika’

Na KALUME KAZUNGU KIONGOZI wa ODM, Raila Odinga, ameahidi kusukuma kuanzishwa kwa viwanda vikubwa vikubwa Lamu na kulibadilisha eneo...

Miradi ya kisasa yatia uchungu ‘Lamu tamu’

Na KALUME KAZUNGU KWA WENGI, MSEMO wa ‘mgeni njoo mwenyeji apone’ huonekana kuwa wa maana kwa vile mgeni hutarajiwa atawasili kwa...

Mwamko mpya wanawake Pwani wakilenga ugavana

Na PHILIP MUYANGA KUONGEZEKA kwa idadi ya wanawake katika kinyang’anyiro cha ugavana eneo la Pwani kunaonyesha mabadiliko makubwa ya...