Wachache wajitokeza kuadhimisha siku ya Leba Dei

Na WAANDISHI WETU VIONGOZI na wananchi jana walisusia sherehe za Leba Dei katika maeneo mbalimbali nchini, huku baadhi ya wafanyakazi...

ADA YA UJENZI: Atwoli atasaliti wafanyakazi?

Na LEONARD ONYANGO WAKENYA wanasubiri kwa hamu na ghamu kuona ikiwa Rais Uhuru Kenyatta atabadili msimamo wake kuhusiana na ada ya...

Raila atangaza mwisho wa ‘Resist’

Na BENSON MATHEKA KIONGOZI wa upinzani, Raila Odinga, Jumanne alitumia sherehe za Leba Dei za mwaka huu, kusitisha marufuku ya wafuasi...

Leba Dei: Makali ya uchumi yawatafuna zaidi Wakenya

Na BENSON MATHEKA WAKENYA Jumanne waliadhimisha siku ya wafanyakazi ulimwenguni katika mazingira magumu mno, gharama ya maisha...

Leba Dei: Ni vigumu kupata ajira katika sekta rasmi

Na BERNARDINE MUTANU MUUNGANO wa Waajiri nchini (FKE) umefichua kuwa kiwango cha nafasi za kazi katika sekta rasmi kimeshuka...

Leba Dei: Wafanyakazi waitaka bunge kupuuza mageuzi ya sheria za leba

Na BENSON MATHEKA VIONGOZI wa vyama vya wafanyakazi na waajiri, Jumanne walitumia sherehe za Leba Dei za mwaka huu kuitaka serikali...

Nakuru: Mji usiotambua Leba Dei, hapa kazi tu!

NA PETER MBURU HUKU wafanyakazi kote nchini wakipumzika kuadhimisha siku ya Leba Dei Jumanne, Wakenya wengi wanaofanya kazi za juakali na...

Shindano la Leba Dei: Tuma picha ukiwa na mwenzako kazini mjishindie Sh5,000

Na CHRIS ADUNGO JUMANNE hii Sh5,000 zitatolewa kwa washindi watatu bora, mmoja kutoka Facebook, mwingine kupitia Twitter na watatu kwa...

KDF anayesherehekea Leba Dei akichuuza maji kwa mkokoteni asimulia alivyoiletea Kenya sifa

NA PETER MBURU HUKU Wakenya wakisubiri kusherehekea siku ya wafanyakazi ya ‘Leba dei’ miaka 55 tangu nchi kupata Uhuru Jumanne, kwa...

Leba Dei ya malumbano kati ya COTU, NHIF na NSSF

Na BENSON MATHEKA WAKENYA wanaadhimisha siku ya wafanyakazi ulimwenguni Jumanne huku vyama vya wafanyakazi na serikali vikizozana kuhusu...