FA yapiga Leeds United faini ya Sh3 milioni kwa utovu wa nidhamu

Na MASHIRIKA LEEDS United wamepigwa faini ya Sh3 milioni na Shirikisho la Soka la Uingereza (FA) kwa kosa la kutishia usalama wa refa...

Vigogo Man-U, Chelsea na Liverpool mawindoni leo

Na MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza MIAMBA wa Manchester United, Chelsea na Liverpool watalenga kuanza msimu mpya wa Ligi Kuu ya...

Kocha Marcelo Bielsa arefusha muda wa kuhudumu kwake Leeds United

Na MASHIRIKA KOCHA Marcelo Bielsa ametia saini mkataba mpya wa mwaka mmoja kambini mwa Leeds United ambao watakutana na Manchester...

Kocha Bielsa ataka Leeds United warefushe mkataba wake huku kikosi hicho cha EPL kikitema wanasoka wawili

Na MASHIRIKA KOCHA Marcelo Bielsa wa Leeds United ameandaa kikao na waajiri wake akitaka kipindi cha kuhudumu kwake uwanjani Elland Road...

Leeds United wanyima Liverpool fursa ya kutinga ndani ya mduara wa nne-bora EPL

Na MASHIRIKA DIEGO Llorente alifungia Leeds United bao la dakika za mwisho na kuwanyima mabingwa watetezi Liverpool fursa ya kutua ndani...

Aston Villa wapepeta Leeds United na kuweka hai matumaini ya kushiriki soka ya bara Ulaya muhula ujao wa 2021-22

Na MASHIRIKA ASTON Villa walipepeta Leeds United 1-0 mnamo Jumamosi uwanjani Elland Road na kuweka hai matumaini ya kusakata soka ya...

Bamford aongoza Leeds United kuaibisha Crystal Palace kwenye gozi la EPL

Na MASHIRIKA FOWADI Patrick Bamford alifunga bao lake la 100 na kuwaongoza waajiri wake Leeds United kuwapepeta Crystal Palace 2-0...

Leeds United yapanda ngazi kushiriki EPL baada ya kukaa kwa baridi miaka 16

Na CHRIS ADUNGO KLABU ya Leeds United imepandishwa ngazi kushiriki Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu ujao wa 2020-21 baada ya kukaa nje...