Mashabiki wa Leicester City walaumiwa

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza MASHABIKI wa Leicester City wameshutumiwa vikali kwa kuzoea kuondoka uwanjani mapema kabla ya mechi...

KIBARUA KIGUMU: Arsenal inakutana na Leicester City ambayo iko katika fomu nzuri

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza LEICESTER City na Arsenal zitakutana leo Jumamosi usiku ugani King Power, katika mechi ambayo huenda...

Nuksi zaandama Wanyama akirejea uwanjani, Spurs yalimwa na Leicester

Na GEOFFREY ANENE VICTOR Wanyama alirejea uwanjani kwa mikosi baada ya kukosa mechi 11 zilizopita, huku Tottenham Hotspur ikipigwa 2-1...

Rodgers, Moyes wako pazuri zaidi kupokezwa ukocha Leicester City

Na MASHIRIKA LONDON, UINGEREZA KOCHA wa zamani wa Everton na Manchester United, David Moyes amefichua azma yake ya kudhibiti mikoba...