KPL kuamua hatima ya ligi wiki hii

Na CECIL ODONGO USIMAMIZI wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL) utaandaa mkutano wiki hii kuamua hatima ya msimu huu baada ya serikali kuongeza...

Klabu za EPL kurejesha mabilioni kwa wapeperushaji wa mechi zao redioni na katika runinga

Na CHRIS ADUNGO KLABU za Ligi Kuu ya Uingereza zinatarajiwa kurejesha jumla ya Sh47 bilioni kwa kampuni za upeperushaji mechi zao za...

Gor Mahia yarejea nyumbani na kumulika ligi kuu

Na GEOFFREY ANENE MIAMBA wa Gor Mahia walirejea nchini mapema Jumatatu kutoka Libya, huku mashabiki wao wakichochea mabingwa hao wa Ligi...

WAZITO WA ULAYA: Manchester City ina kikosi cha wanasoka ghali zaidi

Na MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City ndiyo iliyo na kikosi cha wanasoka ghali zaidi barani Ulaya, ripoti ya...

Commandos waaibishwa na Shabana FC katika NSL

Na CECIL ODONGO SHABANA FC, wikendi ilivuna ushindi mkubwa wa 7-2 dhidi ya Green Commandos ya Kakamega ugani Gusii, katika raundi ya 15 ya...