• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 3:55 PM
Likizo ni muhimu sana kwa afya ya akili ya wanafunzi

Likizo ni muhimu sana kwa afya ya akili ya wanafunzi

 

MOSES KAPKIAI, Eldoret

UTAFITI umeonyesha kuwa kuwapa wanafunzi mapumziko kunaimarisha afya yao ya akili.

Hatua hii pia huwawezesha kuelewa vyema wanayofunzwa darasani wanaporejea baada ya likizo ikiwemo likizo fupi ya katikati mwa muhula maarufu kama ‘half term’. Kwa hivyo, sikubaliani na baadhi ya wazazi waliodai kuwa likizo fupi ya juzi haikuwa na maana yoyote na kuwa iliwasababishia usumbufu na gharama.

You can share this post!

FAUSTINE NGILA: Hatua ya Nigeria kuzima Twitter itaumiza...

Hedhi salama bado ni changamoto kwa wasichana shuleni