Daraja la Liwatoni lazidisha hatari ya kuenea kwa corona

Na WINNIE ATIENO MPANGO uliotajwa kuwa wa kuzuia maambukizi ya Covid-19 jijini Mombasa umegeuka kuwa tisho kubwa zaidi la kueneza janga...

Kilio Kaunti ya Mombasa kuamuru wakazi watumie daraja jipya badala ya feri

Na WINNIE ATIENO Vurugu zinatarajiwa leo katika kivukio cha Likoni baada ya kamati ya dharura ya kudhibiti maambukizi ya Covid-19 kaunti...

Wakazi sasa wataka daraja liwekwe kivuli kuzuia jua

Na MOHAMED AHMED SIKU moja baada ya daraja la kuelea la Likoni kufunguliwa kwa umma, baadhi ya wakazi wa Mombasa wametoa wito kwa...

Wakazi wa Mombasa wafurahia daraja jipya la kuelea Liwatoni

Na DIANA MUTHEU WAKAZI wa Mombasa wana raha baada ya serikali kuwaruhusu kutumia daraja jipya la kuelea la Liwatoni kuvuka kutoka kisiwa...

Maseneta wakosoa ujenzi wa daraja la watu pekee kivukoni

Na MISHI GONGO KAMATI ya seneti inayoshughulikia masuala ya janga la corona, imekosoa ujenzi wa daraja la watu pekee unaoendelea katika...

Mkate wasababisha msongamano kivukoni Likoni

Na MISHI GONGO MKURUGENZI mkuu katika shirika la huduma za feri nchini Bw Bakari Gowa amesema kuwa idadi ya wa wanaotumia kivuko cha...

Ujenzi wa daraja la watu pekee waanza Likoni

MOHAMED AHMED na CECE SIAGO MSONGAMANO katika kivuko cha Likoni unatazamiwa kupungua hivi karibuni kufuatia kuanza kwa ujenzi wa daraja...

Hofu ya msongamano feri mpya ikiharibika Likoni

Na MOHAMED AHMED HUENDA huduma katika kivuko cha Likoni zikatatizika baada ya feri mpya ya Mv Safari ambayo ni miongoni mwa zile kubwa...

COVID-19: Watoto Changamwe na Likoni watakiwa waache kuzurura

Na MISHI GONGO WASHIKADAU katika sekta ya watoto wamehimiza wazazi katika maeneobunge ya Changamwe na Likoni mjini Mombasa kuwazuia...

Kanuni kali kudumishwa ferini hata baada ya virusi

Na MISHI GONGO SERIKALI inapanga kudumisha kanuni kali zinazotekelezwa katika kivukio cha feri Likoni, Kaunti ya Mombasa, zitadumishwa...

Abiria kunyunyiziwa dawa kabla ya kuabiri feri

Na DIANA MUTHEU MAELFU ya abiria wanaotumia kivuko cha Likoni katika Kaunti ya Mombasa, watakuwa wakinyunyiziwa dawa ya kuua viini...

KAFYU: Msongamano Likoni wapunguzwa

NA WACHIRA MWANGI NA FAUSTINE NGILA MAGARI sasa yanaruhusiwa kuvuka kivuko cha Likoni kuanzia saa tano asubuhi na saa tisa alasiri ili...