Mshindi wa Ligue 1 msimu huu kujulikana siku ya mwisho ya kampeni

Na MASHIRIKA NI rasmi kwamba mshindi wa Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) msimu huu wa 2020-21 sasa atajulikana katika siku ya mwisho ya...

Lille wakomoa Lens na kuweka mkono mmoja kwenye taji la Ligi Kuu ya Ufaransa

Na MASHIRIKA LILLE walianza kunusia ubingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) msimu kwa mara ya kwanza tangu 2011 baada ya kuwatandika...