Liverpool wadengua Leicester kwenye robo-fainali za Carabao Cup

Na MASHIRIKA DIOGO Jota alifungia Liverpool penalti ya ushindi katika mechi iliyoshuhudia Liverpool wakitoka nyuma kwa mabao mawili na...

Liverpool ni moto balaa EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Jurgen Klopp amekiri kwamba itakuwa vigumu kwa washindani wao muhula huu kuzima ari ya Liverpool ambao wameweka wazi...

Liverpool waweka rekodi katika soka ya Ligi Kuu ya Uingereza huku wanasoka wao watatu wakiongoza orodha ya wafungaji bora EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Jurgen Klopp amekiri kwamba itakuwa vigumu kwa washindani wao muhula huu kuzima ari ya Liverpool ambao wameweka wazi...

Liverpool wakomoa Arsenal na kupiga breki rekodi ya kutoshindwa kwao katika mechi 10

Na MASHIRIKA LIVERPOOL walikomesha rekodi nzuri ya kutoshindwa kwa Arsenal katika mechi 10 mfululizo kwenye mashindano yote kwa...

Liverpool, Manchester City nguvu sawa ligini

Na MASHIRIKA MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Manchester City pamoja na Liverpool walitarajia kudengua Chelsea kudengua...

Vigogo Man-U, Chelsea na Liverpool mawindoni leo

Na MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza MIAMBA wa Manchester United, Chelsea na Liverpool watalenga kuanza msimu mpya wa Ligi Kuu ya...

Liverpool wapepeta Burnley na kuingia ndani ya mduara wa 4-bora EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Jurgen Klopp wa Liverpool alifananisha ushindi wa kikosi chake dhidi ya Burnley na ufanisi wa “nusu-fainali”...

Liverpool wazamisha RB Leipzig na kujikatia tiketi ya robo-fainali za UEFA

Na MASHIRIKA LIVERPOOL waliwapokeza RB Leipzig kutoka Ujerumani kichapo cha 2-0 mnamo Jumatano usiku katika mchuano wa mkondo wa pili wa...

Mashabiki wa Liverpool hawanitaki, wanataka Klopp asalie kuwa kocha wao – Steven Gerrard

Na MASHIRIKA KOCHA wa Rangers, Steven Gerrard, amesema ingawa kubwa zaidi katika maazimio yake ni kuwa mkufunzi wa Liverpool siku moja,...

COVID-19: Kocha Jurgen Klopp akosa kusafiri Ujerumani kuhudhuria mazishi ya mama yake mzazi

Na MASHIRIKA KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp hakuweza kurejea nchini Ujerumani kwa minajili ya mazishi ya mamaye mzazi mnamo Februari...

Southampton yaipokeza Liverpool kichapo cha 1-0

Na MASHIRIKA MATUMAINI ya Liverpool kuhifadhi taji la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu yaliyumbishwa Jumatatu usiku baada ya...

Liverpool wadhalilisha Palace kwa kichapo cha 7-0 ligini

Na MASHIRIKA LIVERPOOL waliweka wazi azma ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu kwa kudhalilisha Crystal Palace...