Serikali yafuta kandarasi ya kiwanda cha samaki

IBRAHIM ORUKO SERIKALI imesitisha kandarasi ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha samaki cha Liwatoni Kaunti ya Mombasa, ambacho ni mojawapo...

Daraja la Liwatoni lazidisha hatari ya kuenea kwa corona

Na WINNIE ATIENO MPANGO uliotajwa kuwa wa kuzuia maambukizi ya Covid-19 jijini Mombasa umegeuka kuwa tisho kubwa zaidi la kueneza janga...

Wakazi sasa wataka daraja liwekwe kivuli kuzuia jua

Na MOHAMED AHMED SIKU moja baada ya daraja la kuelea la Likoni kufunguliwa kwa umma, baadhi ya wakazi wa Mombasa wametoa wito kwa...

Wakazi wa Mombasa wafurahia daraja jipya la kuelea Liwatoni

Na DIANA MUTHEU WAKAZI wa Mombasa wana raha baada ya serikali kuwaruhusu kutumia daraja jipya la kuelea la Liwatoni kuvuka kutoka kisiwa...

Daraja jipya Krismasi ya mapema kwa watumiaji wa kivuko Mombasa

MOHAMED AHMED na MISHI GONGO SERIKALI inatarajia kufungua rasmi daraja la Liwatoni, Kaunti ya Mombasa kabla ya sikukuu ya...

Sekta ya uvuvi kuimarishwa nchini

Na WINNIE ATIENO WAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Peter Munya amesema vijana 2,000 watapewa mafunzo ya ubaharia ili waweze kufanya kazi...