Rais wa zamani wa LSK ataka mtaalam wa maabara kortini

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA rais wa chama cha mawakili nchini (LSK) anataka mtaalamu wa maabara ya serikali afike kortini kutoa...

BBI: LSK yadai ni rais alianzisha mageuzi

Na RICHARD MUNGUTI CHAMA cha Wanasheria nchini (LSK) na kile cha Thirdway Alliance, Alhamisi vilipinga madai kuwa walioanzisha mpango wa...

LSK yataka majaji wapya kabla 2021

Na CHARLES WANYORO CHAMA cha Wanasheria Nchini (LSK) sasa kinataka mchakato wa kuteua Jaji Mkuu mpya usitishwe.Badala yake LSK inataka...

LSK yapinga kanuni za kuzima mikutano

Na RICHARD MUNGUTI CHAMA cha wanasheria nchini (LSK) Jumatatu kiliwasilisha kesi katika Mahakama Kuu kupinga kanuni za Kamati ya Kitaifa...

Havi azimwa na polisi akitaka kuvuruga wabunge

NA CHARLES WASONGA BW Nelson Havi ambaye ni rais wa Chama cha Mawakili Nchini (LSK) Jumatatu aliongoza ujumbe wa mawakili 20 na...

Kamati yapinga LSK kutaka bunge livunjwe

Na CHARLES WASONGA KAMATI ya Bunge kuhusu Haki na Masuala ya Sheria (JLAC), imepuuzilia mbali shinikizo za Chama cha Wanasheria Nchini...

Uhuru apigwa breki na mahakama kuhusu mawakili

Na RICHARD MUNGUTI AGIZO la Rais Uhuru Kenyatta kuwa mawakili wa kibinafsi walioteuliwa kutetea idara na wizara za serikali wapokonywe...

Mchakato wa uchaguzi wa mawakili warahisishwa

Na KENNEDY KIMANTHI MAWAKILI wamepitisha hoja ya kuondoa mahitaji ya vyeti vya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HELB) na Mamlaka ya...

LSK kufika kortini ikitaka DCI akome kukamata washukiwa Ijumaa

Na SAM KIPLAGAT CHAMA cha Wanasheria Nchini (LSK) sasa kinapanga kuwasilisha kesi mahakamani kupinga mtindo wa kukamatwa kwa washukiwa...

LSK kuchunguza kiini cha nusu ya wanasheria kufeli mtihani

Na ERIC MATARA Chama cha Wanasheria nchini (LSK), kimeanza kuchunguza sababu za wanafunzi wanaofanya mithani wa kuhitimu uanasheria...

LSK kukabiliana na mawakili bandia

Na ERIC MATARA CHAMA cha Wanasheria nchini(LSK) kimeanza juhudi za kuanzisha kitengo cha ukaguzi ili kukabiliana na mawakili bandia...

Mawakili wapinga NHIF kuitisha Wakenya cheti cha ndoa

Na RICHARD MUNGUTI CHAMA cha wanasheria nchini LSK Jumatatu kiliwasilisha kesi katika mahakama kuu kupinga agizo la bima ya kitaifa ya...