SRC yazima nyongeza ya mishahara katika sekta ya umma

Na CHARLES WASONGA RAIS, Naibu Rais, Mawaziri, Wabunge, maafisa wakuu serikalini na watumishi wa umma hawatapata nyongeza ya mishahara...

SRC yalenga kupunguza marupurupu ya watumishi wa umma

PETER MBURU na CHARLES WASONGA MAPATO ya wafanyakazi wa umma yatapungua kuanzia Julai 2021 sera ya Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC)...

Madiwani wavuna baada ya SRC kuidhinisha kila mmoja apewe Sh2 milioni za gari

Na CHARLES WASONGA TUME ya Mishahara na Marupurupu (SRC) imeidhinisha ruzuku Sh4.5 bilioni za kununua magari kwa madiwani wote 2,224...