Uozo wa kimaadili miongoni wa wabunge waanikwa

Na CHARLES WASONGA HUKU Spika wa Bunge Justin Muturi akiahidi kuwa madai ya ufisadi yaliyoelekezewa wabunge fulani na kampuni moja ya...

WANDERI KAMAU: Jamii imefeli ila ijikakamue kuelekeza watoto kimaadili

Na WANDERI KAMAU KATIKA jamii, msingi wa kizazi cha baadaye huanza kuwekwa mara tu watoto wanapozaliwa. Msingi huo unaweza kuwa mbaya...

BBI: Maadili kuwa funzo la lazima kuanzia nasari hadi chuoni

Na WANDERI KAMAU MOJAWAPO ya mapendekezo ya ripoti ya Jopo la Maridhiano (BBI) ni kufundishwa kwa maadili kama somo la lazima...

MWANAMUME KAMILI: Wajibikeni kukomesha hizi tabia za kipuzi za binti zenu!

NA CHARLES OBENE Kuna haja kuu kutambua mahali pa wazee wa hekima katika maisha ya vijana wa leo. Vijana wa leo wanahitaji mwongozo...

IMANI: Si rahisi kwa dini zote kukubaliana kuhusu maadili

Na MWANGI MUIRURI MAADILI hutajwa kama injini ambayo husukuma jamii kutenda mema na kususia maovu. Lakini kuna mjadala mkali ambao...

MAADILI: Babu Owino na Jaguar waomba msamaha kwa kulimana bungeni

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Embakasi Mashariki Babu Owino na mwenzake wa Starehe Charles Njagua (Jaguar) Alhamisi waliomba msamaha...

Makanisa yataka serikali izime ‘Samantha’

[caption id="attachment_1183" align="aligncenter" width="800"] Kinyago cha wanaume kujiburudisha kimapenzi almaarufu 'Samantha'. Makanisa...