FAUSTINE NGILA: Mitandao yabadili sura ya maandamano nchini

NA FAUSTINE NGILA KWA wiki nzima, Wakenya wamepiga kambi katika mitandao ya kijamii ya Twitter na Facebook kuishinikiza Hazina ya...

Maandamano Thika Road kufuatia mauaji ya mkazi Githurai

Na SAMMY WAWERU SHUGHULI za usafiri na uchukuzi Thika Superhighway Alhamisi zimetatizika kwa muda kufuatia maandamano ya wakazi...

Watu 160 wauawa kwenye maandamano Ethiopia

Na MASHIRIKA WATU 160 wameuawa nchini Ethiopia kufuatia maandamano makali ambayo yamelikumba taifa hilo kwa siku kadhaa kutokana na...

Vijana wazua fujo kudai malipo ya Mpango wa Usafi wa mitaa

Na SAMMY KIMATU SHUGHULI katika kituo cha biashara cha South B, eneobunge la Starehe, Nairobi zilikwama kwa muda baada ya vijana...

Mauti na vilio wakazi wakidai haki yao Kasarani

PETER MBURU na MARY WAMBUI POLISI Alhamisi waliendelea kulaumiwa kwa kutumia nguvu kupita kiasi kukabiliana na waandamanaji waliokuwa...

Wanachuo wakabiliana na polisi wakipinga faini

STELLA CHERONO na MERCY KOSKEI BEWA Kuu la Chuo Kikuu cha Egerton, Jumatatu liligeuka uwanja wa vita, wanafunzi wakikabiliana na polisi...

Wakazi wa Gituamba eneobunge la Gatundu Kaskazini waandamana kulalamikia ubovu wa barabara

Na LAWRENCE ONGARO SHUGHULI za uchukuzi katika barabara ya Gatukuyu kuelekea Mataara zilitatizika baada ya wakazi wa Gituamba kufanya...

Maandamano kona zote Kenya

Na WAANDISHI WETU WANANCHI wengi waliochoshwa na matatizo yanayowakumba kimaisha Jumanne waliandamana katika pembe tofauti za nchi...

Maandamano dhidi ya Gavana Sang yatibuka

Na TOM MATOKE MAANDAMANO yaliyopangwa kufanyika Ijumaa dhidi ya seneta wa Nandi, Stephen Sang yalitibuka dakika ya mwisho baada ya mmoja...

Wafanyabiashara Thika walia kuhangaishwa

Na LAWRENCE ONGARO WAFANYABIASHARA mjini Thika wamelazimika kusitisha biashara zao kwa saa tatu ili kuwasilisha matakwa yao kwa afisi...

Waandamanaji Sudan wakaidi hali ya hatari

Na MASHIRIKA WAANDAMANAJI nchini Sudan wamesisitiza kuendelea kukaidi agizo la Rais Omar al-Bashir la kusitisha maandamano dhidi yake...

Mwanamume aandamana peke yake jijini kupinga bei ghali

Na PETER MBURU KUZIDI kupanda kwa gharama ya maisha kumewasukuma Wakenya kujitokeza waziwazi na kumlilia Rais Uhuru Kenyatta kusuluhisha...