Ukambani nao wafuata minofu Ikulu

Na KITAVI MUTUA RAIS Uhuru Kenyatta atapeleka minofu ya serikali Ukambani, katika juhudi za kutuliza malalamiko kuwa ametenga eneo hilo...

Spika atangaza nia ya kumrithi Gavana Mutua

Na PIUS MAUNDU SPIKA wa Bunge la Kaunti ya Machakos, Florence Mwangangi ametangaza nia ya kumrithi Gavana Alfred Mutua kwa kuwania...

Afueni kwa wakazi wa Machakos Gavana Mutua akiwapunguzia gharama ya maisha

Na SAMMY WAWERU IMEKUWA afueni kwa wafanyabiashara na wakazi Machakos baada ya Gavana wa Kaunti hiyo Dkt Alfred Mutua kutangaza Jumatatu...

Kesi ya kumpinga Kavindu kuanza leo

Na KITAVI MUTUA MAHAKAMA Kuu ya Machakos Jumatatu inatarajiwa kuanza kusikiza kesi inayolenga kumzuia mgombeaji wa Wiper katika uchaguzi...

Pigo kwa chama cha UDA Machakos baada ya wandani kutoroka

NA PIUS MAUNDU CHAMA cha United Democratic Alliance (UDA), kimepata pigo katika uchaguzi mdogo wa useneta wa Machakos baada ya kutorokwa...

Uchaguzi mdogo wa useneta Machakos mtihani kwa umaarufu wa Kalonzo

Na BENSON MATHEKA Uchaguzi mdogo wa kiti cha useneta katika Kaunti ya Machakos utakuwa mtihani kwa umaarufu wa vyama na vigogo wa...

Miezi mitatu wakiishi kichakani baada ya kukosa kodi

Na MWANDISHI WETU MWANAMUME na mwanawe, ambao wamekuwa wakilala kichakani katika Kaunti ya Machakos, baada ya kutimuliwa kwa nyumba...

Vilio watoto 4,000 wakipachikwa mimba Machakos

Na LILLIAN MUTAVI TAIFA Jumatano lilipigwa na bumbuwazi ilipofichuka kuwa kuna wasichana wadogo takriban 4,000 ambao wameshika mimba...

Kiranja wa Wengi Machakos atimuliwa kwa kukosa nidhamu

NA LILLIAN MUTAVI Nafasi ya Kiranja wa Wengi katika Bunge la Kaunti ya Machakos Bw Tariq Mulatya imechukuliwa na diwani...

COVID-19: Kenya yathibitisha visa 52 vipya

Na MAGDALENE WANJA WIZARA ya Afya imetangaza visa 52 vipya vya maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19. Idadi jumla ya visa sasa ni 1,161...

Gavana Mutua apondwa kufungua ofisi ya kifahari wakati wa corona

Na BENSON MATHEKA GAVANA wa Machakos Alfred Mutua amekashifiwa na Wakenya kwa kuanika ofisi yake mpya ya kifahari iliyogharimu Sh350...

Kaunti ya Machakos kulipa seneta Sh366 milioni

Na BENSON WAMBUGU SERIKALI ya Kaunti ya Machakos, imeagizwa kumlipa seneta wa kaunti hiyo, Bonface Mutinda Kabaka, Sh366 milioni kwa...