Wanafunzi waliokataa kurudi shuleni wasakwa na machifu

Na Wycliffe Nyaberi MACHIFU na maafisa wa Nyumba Kumi katika eneo la Nyamagwa, Kaunti ya Kisii, wameanzisha msako wa kuwatafuta...

Kazi ya uchifu yaepukwa Lamu kutokana na mauaji

KALUME KAZUNGU na MISHI GONGO WAKAZI wa vijiji vya Kaunti ya Lamu ambavyo vimekuwa vikishuhudia mauaji ya mara kwa mara ya maafisa wa...

Machifu wapewe bunduki – Mbunge

Na Waweru Wairimu MBUNGE wa Isiolo Kaskazini Hassan Odha anaitaka serikali kuwapa bunduki machifu wanaohudumu katika kaunti za wafugaji...

Chifu kizimbani kwa kuiba mbwa!

JOSEPH WANGUI Na PETER MBURU CHIFU kutoka eneo la Othaya alishtakiwa katika mahakama moja ya Nyeri Alhamisi, kwa madai kuwa aliiba mbwa...

Wakazi wakatakata chifu na kuchoma mwili wake

Alex Njeru na Gerald Bwisa WAKAZI wenye ghadhabu kutoka kata ya Kamaindi, Kaunti ya Tharaka-Nithi Jumanne walimkatakata chifu wao Japhet...

Machifu wakosa afisi, wachapa kazi chini ya miti

Na SAMUEL BAYA BAADHI ya machifu katika kaunti ya Kilifi hawana afisi na wanaendesha shughuli zao chini ya miti. Jambo hilo limekuwa...

Machifu kupokea mafunzo ya kijeshi

NICHOLAS KOMU na PETER MBURU MACHIFU takriban 3,400 na manaibu wa makamishna wa kaunti 440 watahudhuria mafunzo ya lazima ya polisi katika...

Aibu machifu kuwalinda wanajisi

Na BRUHAN MAKONG MWAKILISHI wa Kike wa Kaunti ya Wajir Fatuma Gedi amewaonya machifu dhidi ya kuwalinda wanajisi wa wanafunzi. Bi...

Wakenya wanaamini machifu kuliko mawakili – Utafiti

Na BENSON MATHEKA Kwa ufupi: Ni asilimia 7 pekee ya Wakenya 6005 walioshirikishwa wanaotafuta ushauri wa kisheria kutoka kwa...