Jubilee kuachia kila raia deni la Sh180,000

Na BENSON MATHEKA SERIKALI ya Jubilee itaachia kila raia wa Kenya, wakiwemo watoto watakaozaliwa mwaka 2022, mzigo wa kulipa Sh180,000...

Balaa mikopo ya Kenya ikifika Sh9tr

Na DAVID MWERE RAIS Uhuru Kenyatta sasa atahitaji idhini ya Wabunge kabla ya kukopa fedha kutoka kwa taasisi za humu nchini na mataifa...

KENYA IMESOTA!

LEONARD ONYANGO Na BENSON MATHEKA SERIKALI sasa inategemea mikopo kuendesha shughuli zake baada ya kuishiwa na fedha kabla ya kukamilika...

Ruto aahidi kuepuka madeni akiwa rais

Na ANTHONY KITIMO NAIBU Rais William Ruto ameahidi kuunda serikali itakayoepuka madeni akishinda urais kwenye uchaguzi mkuu...

LEONARD ONYANGO: Ukweli ni kuwa Kenya yahitaji suluhu ya madeni

Na Leonard Onyango WAKENYA, wiki iliyopita, walitumia mitandao ya kijamii kushinikiza Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kufutilia...

Wito serikali isiingize nchi kwa madeni zaidi

Na SAMWEL OWINO MUUNGANO wa wadau katika masuala ya uchumi na biashara wametoa wito kwa wizara ya Fedha itilie maanani hali ya sasa ya...

Yattani apondwa kuhusu ongezeko la deni la kitaifa

Na David Mwere IDARA ya Bunge kuhusu Bajeti (PBO) sasa inalaumu Wizara ya Fedha kwa deni kubwa la kitaifa ambalo linaendelea...

TAHARIRI: Tusipochunga madeni yatazamisha Kenya

NA MHARIRI Kwa mara nyingine tena, ofisi inayoshughulika na bajeti katika bunge (PBO) imeonya kuwa huenda Kenya ikanyimwa mikopo...

Kenya hatarini kunyimwa mikopo kufuatia deni la Sh7 trilioni

DAVID MWERE Na BENSON MATHEKA Huenda ikawa vigumu kwa Kenya kukopa kutoka mashirika ya wafadhili duniani kutokana na deni linaloendelea...

Uhuru sasa aililia China ilegeze masharti ya madeni

Valentine Obara na PSCU RAIS Uhuru Kenyatta ameiomba Serikali ya China kulegeza masharti ya madeni ambayo taifa hilo linadai Kenya na...

Deni la Kenya sasa lafika Sh6.28 trilioni

NA JOHN MUTUA DENI la Kenya sasa limeongezeka kwa asilimia 15 na kufika Sh6.28 trilioni katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka...

MADENI: Uchumi wa Kenya katika hatari ya kuzama

Na DAVID MWERE MIKOPO tele iliyochukuliwa na serikali kwa miaka michache iliyopita, sasa inaweka Kenya katika hatari kubwa ya kuzama...