Madereva wa masafa marefu wahangaika wakisubiri kupimwa Covid-19

Na WINNIE ATIENO ZAIDI ya madereva 300 wa masafa marefu waliandamana nje ya Mamlaka ya Uchukuzi na Usalama Barabarani (NTSA)...

Madereva kutoka Kenya wadai wanawekwa katika vituo duni vya karantini Uganda

Na WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI katika sekta ya uchukuzi nchini wameishtumu serikali kwa kushindwa kuwalinda dhidi ya changamoto ambazo...

MAKALA MAALUM: Madereva wa kike sasa kivutio kipya katika teksi jijini, wanaume pabaya!

Na MASHIRIKA WANAWAKE wameteka biashara ya teksi jijini Nairobi na idadi yao inazidi kuongezeka.  Inakisiwa kuwa jijini Nairobi pekee...

Uber kuwatuza madereva wake

Na BERNARDINE MUTANU Kampuni ya teksi Uber kwa kushirikiana na kampuni zingine 10 imezindua tuzo kwa madereva wanaotoa huduma...

Madereva Lamu wapinga ada ya vizuizi kuongezwa

NA KALUME KAZUNGU MADEREVA na utingo wa mabasi ya usafiri wa umma yanayotumia barabara ya Lamu kuekelea Mombasa wameilalamikia serikali ya...

Madereva wote kulipa Sh5,000 kupokea mafunzo mapya

Na BERNARDINE MUTANU MADEREVA wote wa matatu, magari ya uchukuzi umma na malori ya kibiashara wanastahili kurejea darasani kwa mafunzo...