Idara ya Utabiri wa Anga yaonya kuhusu mafuriko

Na KNA IDARA ya Kutabiri Hali ya Anga katika Kaunti ya Kilifi imeonya kuhusu uwezekano wa kuzuka kwa mafuriko huku vua fupi za msimu wa...

Tahadhari mafuriko yakiua 3 Makueni

PIUS MAUNDU na COLLINS OMULO MVUA inayonyesha sehemu kadhaa nchini imesababisha maafa baada ya watu watatu kusombwa na mafuriko katika...

Mvua yazua mafuriko na yaletea wakazi hasara

NA WAANDISHI WETU MAFURIKO makubwa yaliendelea kushuhudiwa katika sehemu mbalimbali nchini, hali ambayo imesababisha uharibifu wa...

Onyo kuhusu mafuriko eneo la Ziwa Victoria

Na WAANDISHI WETU WAKAZI wa maeneo yanayokumbwa na hatari ya mafuriko hasa Nyanza na Budalangi na pia eneo la Magharibi mwa Kenya...

Serikali yatoa hela za ujenzi wa shule zilizoathiriwa na mafuriko

Na WAANDISHI WETU SERIKALI imetoa pesa za kufadhili ujenzi wa shule ambazo ziliharibiwa na mafuriko katika kaunti nne kufuati mvua kubwa...

Shule 11 zahamishia wanafunzi kwingine

SHABAN MAKOKHA na LIZ OJINA SHULE 11 zimekosa kufunguliwa baada ya kuharibiwa na mafuriko katika maeneo ya Magharibi na...

Wazee wataka wafidiwe kwa hasara iliyosababishwa na mafuriko

Na JOSEPH WANGUI KUNDI la wazee 91 kutoka jamii ya Ilchamus katika Kaunti ya Baringo, limewasilisha kesi mahakakani likitaka fidia...

Hasara maziwa mawili yakizamisha ardhi

Na FLORAH KOECH IDARA za serikali na za kibinafsi katika Kaunti ya Baringo, zinakadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya miradi ya...

Mafuriko yasukuma mzee kuishi juu ya mti

Na VICTOR RABALLA MIEZI minne baada ya janga la mafuriko kushuhudiwa nchini, mzee mwenye umri wa miaka 60 bado anaendelea kuishi juu ya...

Daraja lasombwa na maji ya mafuriko Nyandarua

Na SAMMY WAWERU WENYE magari, madereva wa matatu na watumizi wengine wa barabara kati ya Njabini na Olkalou wametakiwa kutafuta njia...

NZIGE NA MAFURIKO: Wakulima Garissa kufadhiliwa na serikali ya kitaifa na ya kaunti

Na FARHIYA HUSSEIN ZAIDI ya wakulima 30 katika Kaunti ya Garissa watafaidika wakisubiri kufadhiliwa na Serikali ya Kitaifa na Kaunti...

Mafuriko yaua watu 285 nchini Kenya

Na SAMMY WAWERU IDADI ya watu waliofariki kutokana na athari za mafuriko ya mvua inayoshuhudiwa maeneo mbalimbali nchini imefika...