WANDERI KAMAU: Tujuzwe sababu za bei ya mafuta kupanda kila siku

Na WANDERI KAMAU MOJAWAPO ya masuala ambayo huibua ghadhabu miongoni mwa wananchi ni pale serikali inawatwika mizigo ya kimaisha bila...

MAFUTA: Wakenya wakimbilia Tanzania

IAN BYRON NA HILLARY KIMUYU MAMIA ya Wakenya wanavuka mpaka hadi nchi jirani za Tanzania na Uganda kununua mafuta kwa bei nafuu.Hii ni...

Mafuta ghali: Wakenya wakerwa na wabunge kujifanya wanawahurumia

Na BENSON MATHEKA WAKENYA wamekasirishwa na hatua ya wabunge kujifanya wanawahurumia kwa hali ngumu ya maisha inayowakabili kufuatia...

CHARLES WASONGA: Wabunge wanaodaiwa kupokea hela za mafuta wachunguzwe

Na CHARLES WASONGA WAKATI huu ambapo Wakenya wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha, inavunja moyo kusikia kuwa wabunge wanatumia nafasi...

Bei ya mafuta kupandisha gharama ya maisha

Na BENSON MATHEKA GHARAMA ya maisha nchini inatarajiwa kupanda kwa kiwango kukubwa baada ya Mamlaka ya Kudhibiti Kawi na Petroli (EPRA)...

EPRA: Atwoli aitaka wizara husika ajitokeze kumtetea raia wa kipato cha chini

Na CHARLES WASONGA KATIBU Mkuu wa Muungano wa Wafanyakazi Nchini (COTU) Francis Atwoli ameitaka wizara husika iingilie kati ongezeko la...

Wakenya kuumia zaidi bei ya mafuta kipanda tena

Na HILLARY KIMUYU WAMILIKI wa magari ya uchukuzi wa umma na ya kibinafsi watagharimika zaidi baada ya Mamlaka ya Kudhibiti Bei ya Kawi...

Bei ya mafuta yapanda tena

Na CHARLES WASONGA WAKENYA watagharimika zaidi ndani ya kipindi cha siku 30 zijazo baada ya bei ya mafuta kupanda kufuatia tangazo...

Mafuta ya kupikia yaliyoharibika 2018 yanaswa Mombasa

MOHAMED AHMED Maafisa wa kitengo cha Upelelezi wa Jinai [DCI] walinasa lita 25,300 za mafuta ya kupikia ambayo siku zake za kutumiwa...

Afueni adimu kufuatia mafuta kushuka bei

Na LEONARD ONYANGO WAKENYA wanatarajia sasa kupata afueni baada ya Mamlaka ya Kawi na Petroli (EPRA) kupunguza bei ya mafuta kwa kiwango...

Hakuna nafuu licha ya bei ya mafuta kushuka

Na EDWIN OKOTH HAKUNA matumaini kwa Wakenya kunufaika na bei ya chini ya mafuta iliyotangazwa mwezi huu wa Aprili. Mamlaka ya...

UBUNIFU WA KIUCHUMI: Mjasiriamali anayetengeneza bidhaa kupitia malighafi asilia

Na SAMMY WAWERU UTENGENEZAJI na uimarishaji wa viwanda ni mojawapo ya Ajenda Nne Kuu za Serikali na ambazo Rais Uhuru Kenyatta ameahidi...