Wanaodai Magufuli aliuawa kwa sumu wajitokeze – Rais Suluhu

Na LEONARD ONYANGO Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepuuzilia mbali madai ambayo yamekuwa yakienezwa katika mitandao ya kijamii...

Watu 45 walifariki katika makanyagano wakitazama mwili wa Magufuli, polisi wa TZ hatimaye wakiri

Na MWANGI MUIRURI MAAFISA wa usalama katika Jamuhuri ya Tanzania sasa wamekiri kuwa takriban watu 45 waliaga dunia katika hafla ya...

Uhuru asifu Pombe kwa kuhepa ukopaji

CHARLES WASONGA NA PSCU RAIS Uhuru Kenyatta, Jumatatu alimsifu aliyekuwa rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli kama mtu aliyeonyesha...

Mwili wa Magufuli kuwasili Dodoma Jumapili jioni

Na Sharon Sauwa, MWANANCHI Mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania,  John Magufuli utawasili jijini Dodoma Jumapili jioni Machi 21, 2021 na...

Diamond aeleza alivyoulizwa na Magufuli kuhusu siri ya baba yake mzazi

Na Nasra Abdallah, MWANANCHI Dar es Salaam, TZ Msanii Diamond Platnumz amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli alimpigia...

DOUGLAS MUTUA: Nenda salama Magufuli

Na DOUGLAS MUTUA NAKUMBUKA mwanzoni mwa janga la corona, yapata mwaka mmoja uliopita, nikipiga gumzo na jamaa na marafiki...

MAUYA OMAUYA: Shujaa Magufuli: Hakika chema kamwe hakidumu

Na MAUYA OMAUYA Bwana ametoa, Bwana ametwaa…” Maneno haya ya Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan juzi, Jumatano usiku...

Rais Suluhu awahimiza Watanzania kuungana

Na SAMMY WAWERU RAIS mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi Samia Suluhu Hassan amewahimiza raia wa nchi hiyo kuungana na kuishi...

Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa sita wa Tanzania

Na SAMMY WAWERU BI Samia Suluhu Hassan ameapishwa rasmi Ijumaa kumrithi Rais Dkt John Pombe Magufuli aliyefariki Jumatano. Bi Samia...

Utawala wa Magufuli ulikandamiza haki za kibinadamu

NA LEONARD ONYANGO UTAWALA wa Rais John Magufuli umekuwa ukikosolewa kwa kunyanyasa wanaharakati, viongozi wa upinzani, watumiaji wa...

Samia Suluhu kuchukua usukani Tanzania kwa kipindi kilichosalia

NA LEONARD ONYANGO  NAIBU Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atakuwa rais wa sita kutawala Tanzania, na rais wa kwanza mwanamke nchini...

Magufuli aliiga Trump kupuuza corona

BENSON MATHEKA Na WINNIE A ONYANDO VIRUSI vya corona vilipotangazwa kuwa janga la kimataifa mnamo Machi 2020, Rais John Pombe Magufuli...