Mwenye baa kuendelea na kifungo kwa kuua mpenziwe

NA RICHARD MUNGUTI MMILIKI wa baa mtaani Buruburu aliyemuua mpenziwe miaka minane iliyopita ataendelea kusalia ndani baada ya Mahakama...

Mahakama yakataa kuzima uchunguzi wa ndimi za sumu

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA kuu imekataa kusitisha agizo watatu wachunguzwe kwa kueneza chuki cha kikabila. Hata hivyo Jaji Jairus...

Mahakama yasimamisha mazishi ya watu 5 waliouawa kinyama

Na GEORGE MUNENE MAZISHI ya watu watano wa familia moja waliouawa kwa kukatwakatwa katika kijiji cha Gathata, Kaunti ya Kirinyaga,...

Masaibu yalivyomwandama Jaji Muchelule kwa miaka 14

Na RICHARD MUNGUTI JAJI wa Mahakama Kuu, Aggrey Muchelule amekuwa akikumbwa na masaibu tele kwa zaidi ya miaka 14 iliyopita.Jaji...

Majaji wanaswa

STEVE OTIENO na WANDERI KAMAU MAJAJI wawili wa Mahakama Kuu jana walikamatwa na kuhojiwa katika Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) pamoja...

Korti yacharaza Uhuru kiboko mara nyingine ikisema alipuuza Katiba

Na RICHARD MUNGUTI RAIS Uhuru Kenyatta amepata pigo jingine katika maamuzi yake baada ya Mahakama Kuu jana kufutilia mbali uteuzi wa...

Mchakato wa kumsaka mrithi wa Maraga kuanza Jumatatu

Na RICHARD MUNGUTI MCHAKATO wa kumsaka Jaji Mkuu wa tatu tangu Katiba mpya ya 2010 izinduliwe utaanza rasmi Jumatatu...

Serikali yaonywa dhidi ya kuhujumu mahakama

Na GEORGE ODIWUOR KAMATI ya Kuangazia Utekelezaji wa Katiba Nchini na Mahakama Kuu zimeonya kuwa huenda Kenya ikajipata pabaya ikiwa...

Majopo 15 yaliyoundwa na Rais yavunjwa na mahakama

Na RICHARD MUNGUTI MAJOPO 15 ambayo wanachama wake waliteuliwa na Rais Uhuru Kenyatta na mawaziri mbalimbali yatafutiliwa mbali kufuatia...

Kesi za ufisadi za Sh224 bilioni zimekwama kortini – Haji

Na BENSON MATHEKA Kesi 135 za ufisadi zinazohusu uporaji wa Sh224 bilioni pesa za umma, zinaendelea katika mahakama tofauti nchini,...

Pigo kwa Bunge huku mahakama ikizima sheria 23

Na JOSEPH WANGUI MAHAKAMA Kuu imebatilisha Sheria 23 zilizopitishwa na Bunge la Taifa bila mchango wa seneti, ikisema zimekiuka...

Wanasiasa waanza harakati za kusaka mrithi wa Maraga

Na BENSON MATHEKA KAMPENI kali inaendelea chini kwa chini kumtafuta mrithi wa Jaji Mkuu David Maraga anayetarajiwa kustaafu mapema mwaka...