Mwanamume aliyedaiwa kujifanya hakimu ashtakiwa

Na TITUS OMINDE MWANAMUME aliyekamatwa Nakuru kwa kujifanya hakimu, jana alishtakiwa katika mahakama ya Eldoret kwa kujipatia zaidi ya Sh...

Wakurugenzi wa kampuni ya kuuza sukari wako na kesi ya kujibu

Na RICHARD MUNGUTI WAKURUGENZI watatu wanaoshtakiwa katika kashfa ya sukari ya Sh79milioni wako na kesi ya kujibu. Hakimu mkuu Bi...

WANDERI KAMAU: Korti zetu ziige mataifa mengine kuboresha utendakazi

Na WANDERI KAMAU TANGU uhuru, Idara ya Mahakama imekuwa ikilaumiwa kwa kuchelewesha maamuzi ya baadhi ya kesi zinazowasilishwa kwake, kwa...

Mbunge wa zamani kujibu shataka Desemba 1

Na RICHARD MUNGUTI HAKIMU mkuu mahakama ya Milimani Nairobi Bi Martha Mutuku alimwamuru aliyekuwa Mbunge wa Tetu James Ndung’u...

Jaji Odunga apelekwa Machakos majaji 17 wakihamishwa

Na RICHARD MUNGUTI JAJI mwenye tajriba ya juu, George Odunga , na anayesifika kwa maamuzi yake ya kihistoria amehamishwa hadi Mahakama Kuu...

Mcheza kamari taabani kwa kuwatusi polisi

[caption id="attachment_1447" align="aligncenter" width="800"] MCHEZAJI kamari Kennedy Okoth Aete akiwa kizimbani Jumanne kwa kosa la...

Afisa wa Safaricom aomba msamaha kwa kukosa kumfikisha kortini mtaalamu

[caption id="attachment_1443" align="aligncenter" width="800"] Wafanyazikazi wa Safaricom Mhandisi Henry Siongok (kushoto) , Inspekta Henry...

Wakili wa Miguna kizimbani kwa dai alihepa ‘vuta pumzi’

[caption id="attachment_1436" align="aligncenter" width="800"] Wakili Aaron Ndubi aliyemwakilisha Dkt Miguna Miguna. Alitiwa nguvuni...

TAHARIRI: Malipo ya juu mahakamani yataua demokrasia

[caption id="attachment_1315" align="aligncenter" width="800"] Bi Wavinya Ndeti aliyewasilisha kesi mahakamani kupinga ushindi wa Gavana wa...

Mume wa wake wawili walioshtakiwa kumiliki bunduki pia akabiliwa kisheria

[caption id="attachment_1380" align="aligncenter" width="800"] Mume wa wanawake wawili Bw Ibrahim Gedi Abdile akiwa kizimbani katika...

Mfanyakazi wa kaunti akana kuwalaghai wakazi wa jiji Sh5.5 milioni

Na RICHARD MUNGUTI MFANYAKAZI wa kaunti ya Nairobi Jumatatu alishtakiwa kwa kufanya njama za kuwalaghai wananchi zaidi ya Sh5.5 milioni...

Jaji ajiondoa katika kesi ya Martha Karua dhidi ya Gavana Anne Waiguru

[caption id="attachment_1375" align="aligncenter" width="800"] Kiongozi wa chama cha Narc Kenya Bi Martha Karua ambaye amewasilisha kesi...